Narudia, Lexus sio model, lexus ni manufacturers ambao inamilikiwa na Toyota. Nioneshe gari moja tu ambayo inaitwa toyota ES300. Au Ushawahi kusikia kuna VOLKWAGEN CHIRON?Luxury version ya Toyota ni Lexus..mjomba..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia, Lexus sio model, lexus ni manufacturers ambao inamilikiwa na Toyota. Nioneshe gari moja tu ambayo inaitwa toyota ES300. Au Ushawahi kusikia kuna VOLKWAGEN CHIRON?Luxury version ya Toyota ni Lexus..mjomba..
Bro, Century is not even produced in mass how can you say ni flagship. Hizo ni halo cars ndugu. Gari ya kuonesha uwezo tu. unaijua Lexus LFA? Hii nayo ni halo carFlagship ya Toyota kwa Japan ni Toyota Century sio Toyota Crown tuweke record sawa kwanza..
Mkuu flagship upande wa Sedans au unazungumzia flagship kwa ujumla?Naona kama hujaelewa. Unajua kama Lexus ni brand nyingine OWNED by Toyota na sio Flagship model ya Toyota?
Flagship ya Toyota Japan brand ni Toyota Crown.
Flagship ya Lexus brand ni LS series
Huwezi kuta eti inasemwa kuwa flagship ya toyota ni lexus ls series. ni brand 2 tofauti hata kama zipo chini ya same umbrella
Flagship kwa ujumla.Mkuu flagship upande wa Sedans au unazungumzia flagship kwa ujumla?
BMW wana service manual kulingana na KM za gari zilivyotembea unabadilisha vitu kabla ya huo muda hio ndo preventive maintenancePreventive maintenance is overated. Shocks zimechoka, ungeziwahi vipi, kupaka grisi ?
Check Engine light imewaka, inasema ni Crankshaft or Camshaft Position Sensor… Hapo ungefanyaje preventive maintenance kuzuia sensor zisibume, kuzichomoa zipumzike ? Alternator limebuma, unafanyaje kuliwahi lisibume, kulisafisha na misasa? Magari yangekuwa yanaishi milele basi
Sidhani, LS ni flagship kwa sedans, Lexus wana vyuma bongo havipo, kuna sport cars za Lexus zina compete kwenye speed na lambo.Flagship kwa ujumla.
Hizo ni performance cars unazozungumzia wewe, hazihesabiwi kuwa ni flagship ya brand. Kwenye huo ukanda unaozungumza, kuna Lexus LFA, hii ni Halo car, limited in numbers and out of all Lexus' hii ndio the most expensive Lexus and high performance car, but still, sio flagship. Kwa makampuni ambayo yanatengeza daily driving cars, flagship cars huwa zile ambazo zina offer the most comfort, luxury and tech features.Sidhani, LS ni flagship kwa sedans, Lexus wana vyuma bongo havipo, kuna sport cars za Lexus zina compete kwenye speed na lambo.
BWM 5 series ndiyo ya kuilinganisha na toyota Crown na siyo 3seriesHabarini za wakati huu wakuu.. Poleni na Hongereni kwa majukumu mnayotekeleza.
Kama hapo topic inavyoejieleza ni gari ipi nzuri na imara ya kumshauri mtu kununua kati ya BMW 3 SERIES na CROWN ATHLETE.
ASANTENI