Ndio gari za kisasa hizi aisee.Hii kitu iliharibika kwenye gari nikiwa huko mkoani, mafundi walikuwa kazi yao kusafisha plug hawajui nini shida. Gari ilikuwa na miss inakula wese kinoma, wakati wa kwenda nilitumia amfuta kama ya lak 2 unusu wakati wa kurudi ilikuwa mafta zaidi ya lak nne mpaka nafika dar kuna muda ilikuwa inasumbua ila ikichanganya inatembea kama kawaida ila inakula wese kinoma.
Basi muunganishe fundi wako kwa mshikajiView attachment 1550751
Mnyama alinitesa nikamaliza zaidi ya 1.3M kwa mafundi. Alikua ana miss utasema farasi anakimbia na kuna wakati inazima.
Wataalam walipoikamata kwanza walibadili plug 1 tu ikaondoka hadi garage, mtu wa umeme akaja kumalizia kazi yake hadi kesho chuma kiko bomba.
Angalizo, usimkabidhi hizi gari fundi wa magari ya Japan, mtagombana na kujiongezea maadui.
Ni gari imara na ukibadili spare zinakaa. Uzuri mwingine siku hizi hata ukiagiza online vitu vinapatikana kwa bei nafuu.
Gari nzuri nimeipenda
BMW ni magari mayai na yanahitaji TLC aka tender loving care. Nimeagiza gari kama hii majuzi 2011 BMW 3-series 318i kutoka Singapore ina kama 57,000 km. Ikifika lazima nibadilishe all fluids Liqui Molly only, OEM BMW filters etc, na kupima any existing trouble codes. Baadaye nitafunga lift kit ya 40mm mbele na nyuma, and the damn Bimmer would be good to go.
Ndio maanake, mjini akili nguvu shamba! Kuna kitu hakiko sawa mahala flani. Jamaa yangu ana Audi A6 ni 3.2L V6 anataka kuuza 8M ila ina matengenezo ya 4M nikamwambia bro sitaki kukukatisha tamaa ila kama kuna mtu atachukua hilo gari basi jua atakuwa alishamiliki Audi before so ananunua kwa mapenzi
Wakati mie ninaendesha 192k car like new! Silencer yake utafikiria imeshuka toka Japan juzi.Nilipokuwa naishi nchi fulani hivi niliwai kutupa BMW mbili kwa sababu ya matatizo ya umeme, moja nilitumia kama $2,000 hivi na bado ndio mataa ya kwny dashboard yanapokezana kama xmas lights.
Ni magari mazuri kabla hayajafikisha miles 100K.
AsanteNunua tu mkuu huku ukijiandaa kwa warning lights zinazowaka kama za mti wa x-mass vile.