Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,109
- 8,080
Ndio gari za kisasa hizi aisee.Hii kitu iliharibika kwenye gari nikiwa huko mkoani, mafundi walikuwa kazi yao kusafisha plug hawajui nini shida. Gari ilikuwa na miss inakula wese kinoma, wakati wa kwenda nilitumia amfuta kama ya lak 2 unusu wakati wa kurudi ilikuwa mafta zaidi ya lak nne mpaka nafika dar kuna muda ilikuwa inasumbua ila ikichanganya inatembea kama kawaida ila inakula wese kinoma.
Ulitumia hela nyingi kwenye mafuta utadhani ni tanker
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app