BMW 320i 2006 Black milioni 5

BMW 320i 2006 Black milioni 5

Hii kitu iliharibika kwenye gari nikiwa huko mkoani, mafundi walikuwa kazi yao kusafisha plug hawajui nini shida. Gari ilikuwa na miss inakula wese kinoma, wakati wa kwenda nilitumia amfuta kama ya lak 2 unusu wakati wa kurudi ilikuwa mafta zaidi ya lak nne mpaka nafika dar kuna muda ilikuwa inasumbua ila ikichanganya inatembea kama kawaida ila inakula wese kinoma.
Ndio gari za kisasa hizi aisee.
Ulitumia hela nyingi kwenye mafuta utadhani ni tanker

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20200828-171645.jpg

Mnyama alinitesa nikamaliza zaidi ya 1.3M kwa mafundi. Alikua ana miss utasema farasi anakimbia na kuna wakati inazima.

Wataalam walipoikamata kwanza walibadili plug 1 tu ikaondoka hadi garage, mtu wa umeme akaja kumalizia kazi yake hadi kesho chuma kiko bomba.

Angalizo, usimkabidhi hizi gari fundi wa magari ya Japan, mtagombana na kujiongezea maadui.

Ni gari imara na ukibadili spare zinakaa. Uzuri mwingine siku hizi hata ukiagiza online vitu vinapatikana kwa bei nafuu.
 
View attachment 1550751

Basi muunganishe fundi wako kwa mshikaji
 
BMW ni magari mayai na yanahitaji TLC aka tender loving care. Nimeagiza gari kama hii majuzi 2011 BMW 3-series 318i kutoka Singapore ina kama 57,000 km. Ikifika lazima nibadilishe all fluids Liqui Molly only, OEM BMW filters etc, na kupima any existing trouble codes. Baadaye nitafunga lift kit ya 40mm mbele na nyuma, and the damn Bimmer would be good to go.
 
Gari kutoka Singapore zinakuja suspension zake zikiwa zimechoka kinyama,pia omba sana ikifika pale NIT iwe haina kimeo la sivyo jiandae vizuri.
 
Uzi unatembea huu ....Imenikumbusha 2017 nimeagiza 320i hakika nilienjoy sana BMW zipo more than comfortable shida ipo moja tu ikianza kuumwa na hawa madaktari wetu wa bongo asee ni shida ilinikula pesa mingi mpaka ije kutengamaa afu tatizo lilikuwa dogo tu but mafund wamezoea toyota inakuwa shida sana. Ni Gari nzuri sana ukiitunza inatunzika Asaiv lipo Moshi wazee niliwatumia wavimbe nalo kitaa.
 
Ndio maanake, mjini akili nguvu shamba! Kuna kitu hakiko sawa mahala flani. Jamaa yangu ana Audi A6 ni 3.2L V6 anataka kuuza 8M ila ina matengenezo ya 4M nikamwambia bro sitaki kukukatisha tamaa ila kama kuna mtu atachukua hilo gari basi jua atakuwa alishamiliki Audi before so ananunua kwa mapenzi

Angalia hizi procedures za kureplace thermostat tu kwny AUDI.

1st:Toa timing belt
2nd:Toa alternator
3rd:Ondoa pipe ya Radiator
4th:Ondoa tena pipe ya chini ya radiator.
5th:Ondoa Coolant lines
6th:Hapa sasa ndio stage ya mwisho unaweza kuitoa hio thermostat na kuibadilisha.

Huu upuuzi wote ni kubadilisha tu Thermostat wkt huku kwenye toyota kubadilisha thermostat ni dakika tu,upuuzi kama huu kibongo bongo nani atauweza.
 
Nilipokuwa naishi nchi fulani hivi niliwai kutupa BMW mbili kwa sababu ya matatizo ya umeme, moja nilitumia kama $2,000 hivi na bado ndio mataa ya kwny dashboard yanapokezana kama xmas lights.
Ni magari mazuri kabla hayajafikisha miles 100K.
 
Wakati mie ninaendesha 192k car like new! Silencer yake utafikiria imeshuka toka Japan juzi.
Maintanance ni regular,lubes,brake pads na kubadili viatu.
 
Back
Top Bottom