BMW series 1


Mcheki car wizard huko YouTube anavochambua msiba wa BMW, kubadili oil seal tu inabidi afungue parts kibao kwenye engine room kiasi kwamba anawaonea huruma wateja wake maana bill ni kubwa. Part inauzwa 5 dollar ila labour ni 600 USD.
 
Gari nzuri na zina heshima yake mjini! sasa hizo bei za spares mmh ghari !cost ya Diagnosis yake tu πŸ€”, ila barabarani nikiona BMW,BENZ,VW,RANGE ROVER SPOT/DISCOVERY 4 huwa naziappreciate sana yani ziko vizuri.
Kwahio kile kimkangafu cha bebi wako Extrovert huki appreciate πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Imefanana na Volkswagen polo za 2010+
 
Ni kweli. Ila kwangu mimi iko chini sana. Mm ni mpenz wa magari yenye ground clearance kubwa. Yaan yapo juu.
Series 1 ni nzuri.. ila kwenye bamps kubwa sasa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwenye humps kubwa, unatega kasikio kwa nje, huku moyo ukisikitika inavyo chuna chini
 
hahaha kuna moja ilipanda bamps za moshi. huho lio unaweza sema gari imedondosha engine.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unasikia tu mtu anasema ayaaaa, huku kauma meno. Ila usema kweli mie napenda sana sedan ingawa changamoto yake ni hiyo. Sijawai vutiwa na gari tofauti sedan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…