BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Ahida sio kutelekeza tu shida ni kuzifanyia maintenance bana mostly wananunua magari kwa showoff sasa zinawashinda matengenezo ni sawa na hawa wanao nunua crown athlete zinawashinda kuweka mafuta wanaziuza bei ya supu
Hahahah bei ya supu ni kama sh. Ngapi maana zilizonyooka ni 13M hadi 20M
 
Hatuwezi wote kumiliki Toyota. Lazima wawepo watu wa kuwapa elimu kwa vitendo na kuwakumbusha wengine umuhimu wa Toyota.

Mfano: Juzi nimeenda kufanya service ya Toyota yangu, nikakutana na mjerumani ambaye nilimuacha hapo wakati nafanya service iliyopita nikakumbushwa umuhimu wa Toyota na uzuri nilishawahi kuwa na mjerumani nikamuuzia huko huko garage baada ya kula sana pesa zangu na mavifaa yake ya online.
 
Mjapani ukiwa na 200k unafanya service saafi kabisa hadi Tie rod end na rack end (used) unabadilisha 🤣🤣🤣🤣

Sasa njoo kwa Mzungu oil pekee 150k+ hapo hujagusa filter, hydraulic, brakepads, Sparkcoils, airfilter Nk.

Ukimaliza hapo fundi amekaa paleee ana kimashine cha POS 🤣🤣🤣🤣 au Lipa namba anakusubiri umalize kutest gari😂😂😂
 
Mjapan ukiwa na 200k unafanya service saafi kabisa, sasa njoo mzungu oil pekee 150k+ hujqgusa filter, hydraulic, brakepades, hujagusa Sparkcoils, airfilter Nk.
Ukimaliza fundi amekaa palee ana kimashine cha POS 🤣🤣🤣🤣 au Lipa namba
Matengenezo ya gar mda mwingine una letewa bili ya vitu unadhani umemaliza kumbe bado hujaonana na fundi 😆😂
 
Umaskini ndio tatizo, unakopa benki milioni 35, unamvua mtu Disco 4 milioni 30 ili uvimbe nalo mjini. Unaenjoy nalo baada ya miezi mitatu linakorofisha linazima.

Unalikokota mpaka gereji unaambiwa mpaka lipone inatakiwa uweke milioni nane mezani. Unaamua kulikacha ujipange mdogo mdogo. Linabaki kua screpa la madogo wanaosadia fundi kupumzikia na kuvutia sigara gereji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom