BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Ahida sio kutelekeza tu shida ni kuzifanyia maintenance bana mostly wananunua magari kwa showoff sasa zinawashinda matengenezo ni sawa na hawa wanao nunua crown athlete zinawashinda kuweka mafuta wanaziuza bei ya supu
Hahahah bei ya supu ni kama sh. Ngapi maana zilizonyooka ni 13M hadi 20M
 
Hatuwezi wote kumiliki Toyota. Lazima wawepo watu wa kuwapa elimu kwa vitendo na kuwakumbusha wengine umuhimu wa Toyota.

Mfano: Juzi nimeenda kufanya service ya Toyota yangu, nikakutana na mjerumani ambaye nilimuacha hapo wakati nafanya service iliyopita nikakumbushwa umuhimu wa Toyota na uzuri nilishawahi kuwa na mjerumani nikamuuzia huko huko garage baada ya kula sana pesa zangu na mavifaa yake ya online.
 
Mjapani ukiwa na 200k unafanya service saafi kabisa hadi Tie rod end na rack end (used) unabadilisha 🤣🤣🤣🤣

Sasa njoo kwa Mzungu oil pekee 150k+ hapo hujagusa filter, hydraulic, brakepads, Sparkcoils, airfilter Nk.

Ukimaliza hapo fundi amekaa paleee ana kimashine cha POS 🤣🤣🤣🤣 au Lipa namba anakusubiri umalize kutest gari😂😂😂
 
Matengenezo ya gar mda mwingine una letewa bili ya vitu unadhani umemaliza kumbe bado hujaonana na fundi 😆😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…