Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwenye kms laki 1 au zaidi incase unaitunza vizuriAsante sana mkuu. Ni mpya ina km 51,000/ hivi itaanza kumisumbua ikifik km ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye kms laki 1 au zaidi incase unaitunza vizuriAsante sana mkuu. Ni mpya ina km 51,000/ hivi itaanza kumisumbua ikifik km ngapi?
Hizi gari zinakotoka tu wenyewe wanalalamika, ije kua bongo.Kuna garage nimekuta Disco 4 . siwezi sema zimetelekezwa ila zimekaa kitambo.
Moja ya sababu naelewa ni gharama za matengenezo ambazo mtu akiambiwa lazima akajipange kwanza ba gari haiendesheki
PointHizi gari zinakotoka tu wenyewe wanalalamika, ije kua bongo.
Nilitaka niseme the same thing..Hizi gari zinakotoka tu wenyewe wanalalamika, ije kua bongo.
Mwenyew nshaiogopa tn hilo gari sipandi😂Gar ya kuiogopa hii
okayMwenyew nshaiogopa tn hilo gari sipandi😂
Hii picha najaribu kuisoma Pana kitu apa
GenZ wanapapukia mambo bila kuuliza wakongweMwananyamala A kuna garage ya BMW ..pale uta zikuta za kutosha movie inaanza njee ipo BMW X6 mwezi wa 8 huu ipo pale inapigwa vumbi ....
Vijana wanapenda kazi laini eg. Photographer na saloon make up, kupaka rangi kucha.Utakuta kila fundi anaepelekewa anazidi kuiharibu
Yaani mbongo kusema SIJUI ni kazi sana
Ujuaji mwingi hawezi kusema aisee mimi sijawahi kutengeneza zaidi ya mjapan
Anaona kama aibu vile
Matokeo yake anazidi kuharibu
Ukiwa na mjerumani peleka kenya kuna mafundi wazuri maana wanazo nyingi
Kijana ukipata hela kasomee kutengeneza hizi ndinga utaletewa zote hizo
Bahati nzuri mi muhenga mwenye hela 😄 zamani ningeenda Nairobi kujifunza
Ukweli ingawa unaumaVijana wanapenda kazi laini eg. Photographer na saloon make up, kupaka rangi kucha.
inasikitishaUkweli ingawa unauma
Wanataka kutajirika kwa kubet
Pole sanaWewe ulietajirika una bilioni ngapi kwenye akaunti na ndani kwako..
NB; wewe kama chumbani kwako hauna BILIONI 7 basi wewe ni maskini wa kutupwa bado.
Wewe utakufa masikini pole sanaNarudia! ..Nasema hivi kama chumbani kwako ama hata kwemye akaunti yako hauna bilioni 7, wewe bado una struggle kwenye umaskini. Kubali kataaa kunywa sumu kufa, ndio ukweli. Kalagabaho!