Car4Sale BMW Tsh.Mil 18.5

Car4Sale BMW Tsh.Mil 18.5

Ni bahati mbaya sana salon car hata ingekuwa na jina au uzuri kiasi gani haijawahi kunivutia huwa naona yote ni kama taxi tu halafu yapo chini ikinyesha unaendesha kwa wasiwasi zaidi ,ukileta SUVs umenikamata,samahani mleta uzi
 
Hizi gari ni tamu achaa, kuna moja nilipanda nikiwa mwanza waalaah yule kaka siku ile isingekuwa. .......angetafuna na angemwaga ndani
Yule binamu nyama ya hamu alokuja south Africa alikula mzigo nae?[emoji15]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wee naeee ndo kusema umesahau au uchokozi tuu. Ilikuwa nikwambie nenda tena kwenye ule uzi ukasome kilichojiri, ila nimeghairi.

Binamu ni kaka yangu au umbu langu siwezi katu kumfunulia maungo yangu. Binamu aliishia kula kibao cha keleb kutoka kwa Kasie kisha akapanda ndege na kurudi TZ. Umeelewa? ?!!!
 
Ule uzi niliusoma nikiwa safarini kwahio sijaumaliza ndio maana nikataka kujua. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kala kibao mwenzio alikuwa anatoka udenda kama fisi anaesubiri mfupa.[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
u
Ni bahati mbaya sana salon car hata ingekuwa na jina au uzuri kiasi gani haijawahi kunivutia huwa naona yote ni kama taxi tu halafu yapo chini ikinyesha unaendesha kwa wasiwasi zaidi ,ukileta SUVs umenikamata,samahani mleta uzi
mewahi endesha hili gari mkuu
 
ingekuwa X3 au X5 ningekupa mawe,napenda zaidi SUV,kila la kheri mkuu ila hizi ngoma zipo byee sana
 
Mie napenda gari za kampuni ya CHEVROLET TAHOE, LEXUS CRUISER, GMC, PRADO V8, LINCOLN, ambazo usukani wake upo upande wa kushoto kwa sababu mm mwenyewe huwa natumia mkono wa kushoto kwa asilimia 80% kuliko mkono wa kulia, nazipenda mno hizi gari........
 
Ule uzi niliusoma nikiwa safarini kwahio sijaumaliza ndio maana nikataka kujua. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kala kibao mwenzio alikuwa anatoka udenda kama fisi anaesubiri mfupa.[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Ndo hivyo binamu aliishia hivyo hadi leo kimyaa sitaki hata kumsikia.
 
Ni bahati mbaya sana salon car hata ingekuwa na jina au uzuri kiasi gani haijawahi kunivutia huwa naona yote ni kama taxi tu halafu yapo chini ikinyesha unaendesha kwa wasiwasi zaidi ,ukileta SUVs umenikamata,samahani mleta uzi

Hongera sana Baba Koku kumbe wamiriki SUV teh teh teh
 
Mie napenda gari za kampuni ya CHEVROLET TAHOE, LEXUS CRUISER, GMC, PRADO V8, LINCOLN, ambazo usukani wake upo upande wa kushoto kwa sababu mm mwenyewe huwa natumia mkono wa kushoto kwa asilimia 80% kuliko mkono wa kulia, nazipenda mno hizi gari........
unamiliki gari yeyote kati ya hizo ulizozitaja? Gari ya mkono wa kushoto utaijua ubaya wake uwe na safari ya masafa hivi unaovateki vipi? Usitamani tu teh teh teh. Ni kimeo zile kwa mazingira yetu..
 
Back
Top Bottom