BMW vs Crown Athlete

BMW vs Crown Athlete

Volkswagen golf GTi bado zipo juu jiandae na milion 15-18 pia inategemea soko likoje hasa Kwenye mtandao wa be forward au SBT
 
Volkswagen golf GTi bado zipo juu jiandae na milion 15-18 pia inategemea soko likoje hasa Kwenye mtandao wa be forward au SBT
 
Volkswagen golf GTi speed 300 alafu ni turbo...haya matoyota sio ya kufanya ligi na mashine za ulaya
Wabongo bhana!! Aya angalia hyo Golf yako inavyoachwa na Toyota
 
Attachments

  • Drag Race - VW Polo GTI vs Toyota Yaris GRMN_low.mp4
    5.2 MB
Wabongo bhana!! Aya angalia hyo Golf yako inavyoachwa na Toyota
Toyota Yaris sports umeiona wapi hapa Tanzania?
Kuna Magari mengi Tu yako vizuri kushinda Volkswagen golf GTi Kwa huko ulaya Ila ukirud bongo niambie Kwa Magari haya ya kijapan kama brevis,crown na Subaru wanaweza mziki wa GTi?.

Usiongelee ulaya
 
Yaris kwenye top speed lazima ichukuliwe...
kwenye comfortability pia....
 
Toyota Yaris sports umeiona wapi hapa Tanzania?
Kuna Magari mengi Tu yako vizuri kushinda Volkswagen golf GTi Kwa huko ulaya Ila ukirud bongo niambie Kwa Magari haya ya kijapan kama brevis,crown na Subaru wanaweza mziki wa GTi?.

Usiongelee ulaya
Jamaa acha kufuraisha!! Hivi kumbe kuna kampuni ya toyota ya Ulaya na Toyota ya Tanzania😯😯. Mkuu kampuni ya Toyota ni moja tu..Tofauti iliyopo ni kwenye market segmentation kuna magari yanayotengezwa ktk masoko ya ulaya, asia, na america kutegemeana na sera na sheria za usalama barabarani ktk nchi husika ndio maana kwa japan na nchi nyingine za asia speedometer haitakiwi kuzidi 180km/hr Magari mengi yanayotumika Tanzania ni ya miaka 15, 10, 8 iliyopita na haya asilimia kubwa yalitengenezwa kwa soko la Japan..tukirejea ktk mchango wako umesema Matoyota hayawezi kushindana na gari za ulaya nikakuonyeshea hyo Vw Gti inavyoachwa na Toyota yaris, kitu usichokijua ni kwamba hyo Toyota yaris huku kwetu imekuja kwa jina la Toyota Vitz tofauti hyo imelengwa kwa soko la ulaya ambako sheria zao zinaruhusu limit ya over 180km/hr. Kulinganisha Toyota Crown, Brevis ambazo zimetengenezwa kwa Soko la japan ambazo zina limit ya speed 180 na hyo Polo ambayo ina over180 speed huko ni kukosa ufahamu tu wa hicho unachokiandika.

''Usiongelee ulaya'' 😂😂😂
Mkuu magari au vyombo vya moto havitengenezwi kwa matakwa ya kampuni inayozalisha wao wanatakiwa ku comply na Sera, sheria na miongozo mbalimbali ya kiusalama iliyowekwa baina ya Nchi na Nchi ndio mana kuna gari zinaishia speed ya 180 zingine 260 na nyingine 320, kuna Gari steering imekaa kushoto nyingine kulia. Tanzania hatuna sera ya udhibiti wa speedometer ndio mana huku kwetu utazikuta gari zinazoishia 180, 260, 340 na n.k alaf either kwa kujua au kutokujua watu kama ww mnakuja kuzifanisha hizo Gari. Hyo Toyota yaris na hyo Gti Vw zimeshindanishwa kwa kua zote zimetengenezwa ktk specs zinazofanana.
 
Habari ya soko la ndani la Japan na ulaya hiyo kila mtu analijua hata Kwenye maelezo Yangu nimejikita Sana Kwa Magari yetu ya Japan yanayotokea Kwenye soko la ndani la Japan..
Kumbuka haya Magari ndiyo wengi tunanua hapa Tanzania

Kampuni zote za Japan wanatengeneza Magari Kwa soko la ulaya na marekani Hilo lipo wazi na yanafanya vizuri,Mimi nimeangalia Sana hapa Tanzania tunatumia matoyota ya kawaida Sana ambayo ni ngumu kuyafananisha na European cars...

Maelezo yako sijayapinga
 
Toyota Yaris sports umeiona wapi hapa Tanzania?
Kuna Magari mengi Tu yako vizuri kushinda Volkswagen golf GTi Kwa huko ulaya Ila ukirud bongo niambie Kwa Magari haya ya kijapan kama brevis,crown na Subaru wanaweza mziki wa GTi?.

Usiongelee ulaya
Baba pesa inaongea Toyota yoyote ukitak unaagiza
Kun jamaa kitaa ana Supra latestmodel Kama sio 2020 bas 2021
 
Angalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
... wapuuzi wakubwa! So, walipata faida gani kwa ligi za kipumbavu barabarani? Umetoka nyumbani kwako peke yako, barabarani endesha peke yako sio kuweka ligi za kipuuzi. Uhai ukiondoka umeondoka there is no way to get it back! Kanuni hii ikeleweka kushindana barabarani ni upumbavu.
 
Mkuu aliyopasuka pasuka ni mjerumani.. wenye Crown wapo sasa hivi wanakula mtori

Siyo kweli
Angalia picha ya ajali gari ilyoanguka ni Crown (Silver) Golf GTI iliyowapita ilikuwa na rangi ya Black /Blue iliyouva (Angalia video zote vizuri).
Iliyopata ajari ni CROW silver SIYO VW
 
Angalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
Better late in this world than early in the next
 
... wapuuzi wakubwa! So, walipata faida gani kwa ligi za kipumbavu barabarani? Umetoka nyumbani kwako peke yako, barabarani endesha peke yako sio kuweka ligi za kipuuzi. Uhai ukiondoka umeondoka there is no way to get it back! Kanuni hii ikeleweka kushindana barabarani ni upumbavu.
Sio kweli hzo video ni mbili tofauti, hyo ajali ilikuwa safari ya kwenda Mwanza ajali ikatokea maeneo karibu na Gairo,

chanzo cha ajali ni pancha tairi ya mbele, na ilikuwa ni usiku
 
Back
Top Bottom