PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Volkswagen golf GTi bado zipo juu jiandae na milion 15-18 pia inategemea soko likoje hasa Kwenye mtandao wa be forward au SBT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo bhana!! Aya angalia hyo Golf yako inavyoachwa na ToyotaVolkswagen golf GTi speed 300 alafu ni turbo...haya matoyota sio ya kufanya ligi na mashine za ulaya
Hio ni Toyota model ipi?Wabongo bhana!! Aya angalia hyo Golf yako inavyoachwa na Toyota
Toyota YarisHio ni Toyota model ipi?
Toyota Yaris sports umeiona wapi hapa Tanzania?Wabongo bhana!! Aya angalia hyo Golf yako inavyoachwa na Toyota
Yaris kwenye top speed lazima ichukuliwe...Toyota Yaris sports umeiona wapi hapa Tanzania?
Kuna Magari mengi Tu yako vizuri kushinda Volkswagen golf GTi Kwa huko ulaya Ila ukirud bongo niambie Kwa Magari haya ya kijapan kama brevis,crown na Subaru wanaweza mziki wa GTi?.
Usiongelee ulaya
Jamaa acha kufuraisha!! Hivi kumbe kuna kampuni ya toyota ya Ulaya na Toyota ya Tanzania😯😯. Mkuu kampuni ya Toyota ni moja tu..Tofauti iliyopo ni kwenye market segmentation kuna magari yanayotengezwa ktk masoko ya ulaya, asia, na america kutegemeana na sera na sheria za usalama barabarani ktk nchi husika ndio maana kwa japan na nchi nyingine za asia speedometer haitakiwi kuzidi 180km/hr Magari mengi yanayotumika Tanzania ni ya miaka 15, 10, 8 iliyopita na haya asilimia kubwa yalitengenezwa kwa soko la Japan..tukirejea ktk mchango wako umesema Matoyota hayawezi kushindana na gari za ulaya nikakuonyeshea hyo Vw Gti inavyoachwa na Toyota yaris, kitu usichokijua ni kwamba hyo Toyota yaris huku kwetu imekuja kwa jina la Toyota Vitz tofauti hyo imelengwa kwa soko la ulaya ambako sheria zao zinaruhusu limit ya over 180km/hr. Kulinganisha Toyota Crown, Brevis ambazo zimetengenezwa kwa Soko la japan ambazo zina limit ya speed 180 na hyo Polo ambayo ina over180 speed huko ni kukosa ufahamu tu wa hicho unachokiandika.Toyota Yaris sports umeiona wapi hapa Tanzania?
Kuna Magari mengi Tu yako vizuri kushinda Volkswagen golf GTi Kwa huko ulaya Ila ukirud bongo niambie Kwa Magari haya ya kijapan kama brevis,crown na Subaru wanaweza mziki wa GTi?.
Usiongelee ulaya
Ata mimiMbona hapo mbele ya hiyo gari yenye ajali naona zile nyavu za crown?
Baba pesa inaongea Toyota yoyote ukitak unaagizaToyota Yaris sports umeiona wapi hapa Tanzania?
Kuna Magari mengi Tu yako vizuri kushinda Volkswagen golf GTi Kwa huko ulaya Ila ukirud bongo niambie Kwa Magari haya ya kijapan kama brevis,crown na Subaru wanaweza mziki wa GTi?.
Usiongelee ulaya
Na hio Supra ni Bmw Z4 iliyochangamka.Baba pesa inaongea Toyota yoyote ukitak unaagiza
Kun jamaa kitaa ana Supra latestmodel Kama sio 2020 bas 2021
P1 ila kwa pale unapata sports car experience kwelikweliNa hio Supra ni Bmw Z4 iliyochangamka.
... wapuuzi wakubwa! So, walipata faida gani kwa ligi za kipumbavu barabarani? Umetoka nyumbani kwako peke yako, barabarani endesha peke yako sio kuweka ligi za kipuuzi. Uhai ukiondoka umeondoka there is no way to get it back! Kanuni hii ikeleweka kushindana barabarani ni upumbavu.Angalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
Nakubali mkuu.P1 ila kwa pale unapata sports car experience kwelikweli
Mkuu aliyopasuka pasuka ni mjerumani.. wenye Crown wapo sasa hivi wanakula mtori
Hapana ni wenye BMW wenye crown sasa hivi wanalea watoto
Yes ni crown mnyama audondoki kizembe...speed 200 breki sekunde imesimama [emoji91][emoji91][emoji91]
Better late in this world than early in the nextAngalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya safari baada ya Crown kuwashinda!
R.I.P comrades..mbele yenu nyuma yetuView attachment 1706037
Sio kweli hzo video ni mbili tofauti, hyo ajali ilikuwa safari ya kwenda Mwanza ajali ikatokea maeneo karibu na Gairo,... wapuuzi wakubwa! So, walipata faida gani kwa ligi za kipumbavu barabarani? Umetoka nyumbani kwako peke yako, barabarani endesha peke yako sio kuweka ligi za kipuuzi. Uhai ukiondoka umeondoka there is no way to get it back! Kanuni hii ikeleweka kushindana barabarani ni upumbavu.