BMW X1 imejilock haikubali ku-respond chochote

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Kwema wakuu, gari tajwa hapo juu imejilock, mara yamwisho kuitumia ni juzi ilikuwa fresh tu, jana wakati nataka kuondoka ikawasha taa ya engine hivyo nikaona nisitumie maana sijui tatizo, leo niko free nilitaka niipeleke garage sasa ninacho ona ni kwamba imejilock.

Milango haifunguki, nikijaribu ku unlock inawasha indicators tu na haifungui, issue inaweza kuwa nini?
 
Tatizo kama hilo lilitokea kwenye GMC yangu ilibidi niite fundi kutoka Nairobi.
Specimen.
2023-gmc-retail-co-898x898-yukon-denali-q1.jpg
 
Kwema wakuu, gari tajwa hapo juu imejilock, mara yamwisho kuitumia ni juzi ilikuwa fresh tu, jana wakati nataka kuondoka ikawasha taa ya engine hivyo nikaona nisitumie maana sijui tatizo, leo niko free nilitaka niipeleke garage sasa ninacho ona ni kwamba imejilock.

Milango haifunguki, nikijaribu ku unlock inawasha indicators tu na haifungui, issue inaweza kuwa nini?

Pole mkuu, hizo ndinga za wazungu raha yake huwa zikiwa nzima, zikianzaga maroroso huwa zinatia hasira...

Jaribu kuipachua hiyo rimote na kutoa funguo, then ufungue mlango manually kuna BMW ambazo tundu la funguo huwa limewekwa upande wa chini wa kitasa limefichwa na kiplastic hivi...
 
Kwema wakuu, gari tajwa hapo juu imejilock, mara yamwisho kuitumia ni juzi ilikuwa fresh tu, jana wakati nataka kuondoka ikawasha taa ya engine hivyo nikaona nisitumie maana sijui tatizo, leo niko free nilitaka niipeleke garage sasa ninacho ona ni kwamba imejilock.

Milango haifunguki, nikijaribu ku unlock inawasha indicators tu na haifungui, issue inaweza kuwa nini?

Issue ni umetutapeli bandari yetu tushapele nyayo za gari yako gamboshi so ukitaka rudisha bandari tu unlock hiyo gari
 
Nakumbuka bugati divo yangu ilivyo nifanyia pale shekh lango aisee sina haam, kuja kuchek mafundi wa bongo hamna kitu, nikaamua niwasiliane na kampun wakanitumia fundi wao toka florida marecan jumla matengenezo nilitumia m300 ikiwa bei ya gari nilinunua bilion64
 
Tatizo kama hilo lilitokea kwenye GMC yangu ilibidi niite fundi kutoka Nairobi.
Specimen.
View attachment 2785097
pole sana chief, hata mimi nilipata hio shida kwenye bentley continental yangu namba B ile ya namba D haijawahi sumbua kabisa ila fundi wangu Hudson Kutoka Bentley South Africa aliniokoa.
images.jpeg
 
Nakumbuka bugati divo yangu ilivyo nifanyia pale shekh lango aisee sina haam, kuja kuchek mafundi wa bongo hamna kitu, nikaamua niwasiliane na kampun wakanitumia fundi wao toka florida marecan jumla matengenezo nilitumia m300 ikiwa bei ya gari nilinunua bilion64
Kumbe ni gharama hivyo ku service buggati? 🤣
 
Kwema wakuu, gari tajwa hapo juu imejilock, mara yamwisho kuitumia ni juzi ilikuwa fresh tu, jana wakati nataka kuondoka ikawasha taa ya engine hivyo nikaona nisitumie maana sijui tatizo, leo niko free nilitaka niipeleke garage sasa ninacho ona ni kwamba imejilock.

Milango haifunguki, nikijaribu ku unlock inawasha indicators tu na haifungui, issue inaweza kuwa nini?
Piga picha dashboard
 
Back
Top Bottom