hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba tupe mrejeshoKwema wakuu, gari tajwa hapo juu imejilock, mara yamwisho kuitumia ni juzi ilikuwa fresh tu, jana wakati nataka kuondoka ikawasha taa ya engine hivyo nikaona nisitumie maana sijui tatizo, leo niko free nilitaka niipeleke garage sasa ninacho ona ni kwamba imejilock.
Milango haifunguki, nikijaribu ku unlock inawasha indicators tu na haifungui, issue inaweza kuwa nini?