Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Okay, shukrani mkuu ngoja nijaribu.Remote system imejam tafuta fundi wa diagnosis mwenye mashine na anayejua kusoma codes AMA la zama Google kuna madini yote huko utaokoa pesa yako
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteMtafute fundi umeme wa magari
Natia msisitizo tu awe ni fundi umeme anayeyajua magari ya mjerumani asije akamuongezea tatizoMtafute fundi umeme wa magari
Naunga mkono hoja 👍👏Natia msisitizo tu awe ni fundi umeme anayeyajua magari ya mjerumani asije akamuongezea tatizo
Kwema wakuu, gari tajwa hapo juu imejilock, mara yamwisho kuitumia ni juzi ilikuwa fresh tu, jana wakati nataka kuondoka ikawasha taa ya engine hivyo nikaona nisitumie maana sijui tatizo, leo niko free nilitaka niipeleke garage sasa ninacho ona ni kwamba imejilock.
Milango haifunguki, nikijaribu ku unlock inawasha indicators tu na haifungui, issue inaweza kuwa nini?

pole sana chief, hata mimi nilipata hio shida kwenye bentley continental yangu namba B ile ya namba D haijawahi sumbua kabisa ila fundi wangu Hudson Kutoka Bentley South Africa aliniokoa.Tatizo kama hilo lilitokea kwenye GMC yangu ilibidi niite fundi kutoka Nairobi.
Specimen.
View attachment 2785097
wazee mmeroga gari ya bossIssue ni umetutapeli bandari yetu tushapele nyayo za gari yako gamboshi so ukitaka rudisha bandari tu unlock hiyo gari
Kumbe ni gharama hivyo ku service buggati? 🤣Nakumbuka bugati divo yangu ilivyo nifanyia pale shekh lango aisee sina haam, kuja kuchek mafundi wa bongo hamna kitu, nikaamua niwasiliane na kampun wakanitumia fundi wao toka florida marecan jumla matengenezo nilitumia m300 ikiwa bei ya gari nilinunua bilion64
Kawaida mkuu. Tatizo lenu mmekariri toyota. Mbona fresh tu buggati.Kumbe ni gharama hivyo ku service buggati? 🤣
Asee basi ntaagiza Chiron mwez December kama zawadi yangu ya XmasKawaida mkuu. Tatizo lenu mmekariri toyota. Mbona fresh tu buggati.
Piga picha dashboardKwema wakuu, gari tajwa hapo juu imejilock, mara yamwisho kuitumia ni juzi ilikuwa fresh tu, jana wakati nataka kuondoka ikawasha taa ya engine hivyo nikaona nisitumie maana sijui tatizo, leo niko free nilitaka niipeleke garage sasa ninacho ona ni kwamba imejilock.
Milango haifunguki, nikijaribu ku unlock inawasha indicators tu na haifungui, issue inaweza kuwa nini?