BMW X1 imejilock haikubali ku-respond chochote

pole sana chief, hata mimi nilipata hio shida kwenye bentley continental yangu namba B ile ya namba D haijawahi sumbua kabisa ila fundi wangu Hudson Kutoka Bentley South Africa aliniokoa. View attachment 2787026
Pole sana haya magari watu wanapenda kutuona nayo tu ila ni gharama sana kuyamiliki hii gari yangu nyingine mercedes maybach s-class kumwaga tu oil namsubiri fundi mwezi wa 3 huu yuko vacation dubai
 
Mkuu ninayo yard sipendelei sana kuitumia sababu ipo chini (inatabia ya kuatamia barabara). naitoa kwa bei ya hasara. What's your offer?
three paundi mkuu 3£. Au nikupe ofa kwa uro? Dola imekuwa adimu.
 
Mkuu ninayo yard sipendelei sana kuitumia sababu ipo chini (inatabia ya kuatamia barabara). naitoa kwa bei ya hasara. What's your offer?
Ahaa nikuwekee $350,000 mida ya Lunch kama hutojali, nipatie tu account number yako mkuu
 
Pole sana haya magari watu wanapenda kutuona nayo tu ila ni gharama sana kuyamiliki hii gari yangu nyingine mercedes maybach s-class kumwaga tu oil namsubiri fundi mwezi wa 3 huu yuko vacation dubai
View attachment 2787061
Aah halafu hii ni ile latest model kabisa. Namuonaga jirani yangu hapa yule mtoto wa Bhakresa anatoka nayo mara moja kwa week kila Jumatatu. Anabadilisha gari kila siku sema ungekuwa unatumia ile G63 naona mafundi wake ni wengi zaidi.
 
Nunua mkuu, mafundi kibao wapo states pale. Likizima kwenye mataa ya ubungo piga simu paris ufaransa wapo fasta sana. Tusikariri toyota.
Kuna mwamba ameipaki uwani tu amenipa offer nataka aki confirm nimuwekee hio hela mchana huu.
 
Reactions: Tsh
Pole....ilinitokea hii kwa Ford.....niliita mafundi wa kila aina......mwishowe ilibidi nibadili engine.....All the best
 
Asee hili tatzo bado sijasolve kene Bently yangu nipo namsubiri nje juani JituMirabaminne aje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…