Kwema wakuu, gari tajwa hapo juu imejilock, mara yamwisho kuitumia ni juzi ilikuwa fresh tu, jana wakati nataka kuondoka ikawasha taa ya engine hivyo nikaona nisitumie maana sijui tatizo, leo niko free nilitaka niipeleke garage sasa ninacho ona ni kwamba imejilock.
Milango haifunguki, nikijaribu ku unlock inawasha indicators tu na haifungui, issue inaweza kuwa nini?