Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Inategemea na tolerance ya mtu binafsi kubadili badili vitu vikikongoroka kila mara nje ya scheduled services.Hiyo peke yake sidhani kama inatosha kusema inasumbua labda useme kama ukifunga kifaa ulichobadili kinalufa tena ndani ya muda mfupi. I stand to be corrected tho kwa sababu una uzoefu nazo.
Kuna watu wanapenda , mimi binafsi sina muda.