BMW X5: Mwenye kuijua!

BMW X5: Mwenye kuijua!

Hiyo peke yake sidhani kama inatosha kusema inasumbua labda useme kama ukifunga kifaa ulichobadili kinalufa tena ndani ya muda mfupi. I stand to be corrected tho kwa sababu una uzoefu nazo.
Inategemea na tolerance ya mtu binafsi kubadili badili vitu vikikongoroka kila mara nje ya scheduled services.

Kuna watu wanapenda , mimi binafsi sina muda.
 
Natamani nimwage nondo za hii gari i la nitaufunga mapema uzi wako acha watu watiririke kwanza
Kaka kwema? Uliishia wapi tena? Tulisubiri sana nondo za hii chuma ila ukatokomea kusikojulikana, nini kimekusibu? 😅😅 a
 
Wakuu kwanini hizi gari zipo juu ya mawe sana kwenye garage za mtaani kwangu ? Watu wameyasusa au inekuwaje ? Kuna mshikaji wangu alikuwaga na X5 akauza sikuiz ana vanguard sijawah kumuuliza kwanini aliuza, nayatamanig sana haya magari ila tu uchumi mdogo, nliwah panda X6 la jamaangu mmoja liko very comfortable
 
Back
Top Bottom