BMW x5 na Volkswagen Tourage v6

Ukiwaambia wanakaza fuvu. Hiyo 100k mbali sana
Acha wakaze majuto ni mjukuu. Kuna jamaa yangu aliingiza VW baada ya wiki gia zikagoma kuchange tulishinda geteji siku mbili mfululizo; sijui saa hizi huko aliko Ina gali gani maana niliacha bado anahangaika nayo
 
Mkuu kuna link nimetuma hapo juu, hata huko zinapotoka wanalia tu kabla hazijafika hiyo 100K. Na ukipeleka kwa dealer gharama ipo juu, unless ni recall kutoka kwa watengnezaji, hapo warrant inakusaidia. Tofauti na hapo maumivu yapo juu sana
 
Hizi gari ikifika 100k ndio utajua hujui
Anangalie mwaka na grade ya gari - gari zenye 5.0 and above nyingi zimenyooka sana, na nyingi zinakuwa chini ya 40,000km na hata miaka unakuta 2013 na kuendelea, ila kipengele kwa uchumi wa watu wengi tanzania gari zikianzia $ 30,000 inakuwa tafrani sana.. chini kama atachukua moja wapi hapo.. haya makelele ya usumbufu hato yasikia
 
Sijui kama umeelewa nilichokizungumzia hapa? Hizi gari hata kama no ya 2020 ikisha gonga 100k miles uiogope; ndio maama asilimia kubwa silikaribia hiyo mileage zinashuka bei sana.
 
Sijui kama umeelewa nilichokizungumzia hapa? Hizi gari hata kama no ya 2020 ikisha gonga 100k miles uiogope; ndio maama asilimia kubwa silikaribia hiyo mileage zinashuka bei sana.
Sijakataa ulichosema. Na hata gari nilizo post ni chini ya 40k , kitu ambacho wengi wana chemka kwenye ku afford gharama za manunuzi
 
Mkuu kuna link nimetuma hapo juu, hata huko zinapotoka wanalia tu kabla hazijafika hiyo 100K. Na ukipeleka kwa dealer gharama ipo juu, unless ni recall kutoka kwa watengnezaji, hapo warrant inakusaidia. Tofauti na hapo maumivu yapo juu sana
That is not my experience.

But then again, inawezekana watu wengine wanalazimisha kuwa na BMW wakati hawajafikia matawi hayo.
 
Tunataka watu wanao elewa mambo namna hii sasa
 
Nimepanda ya "lifti" jana asee kwenye vijimashimo uchwara inakuwa kama inacheza ndombolo ya solo(iliyo imbwa na saida karoli) yaani inakubembeleza hivi. Halafu mziki ndani umechujaaa huku kiyoyozi kikifanya kazi yake. Nafasi ya kutosha ndani na options nyingi kuanzia mlangoni hadi nyuma ya usukani dah
 
Zote zipo vizuri ni pesa yako tu mkuu na ipi inakuvutia zaidi.
Kwa mimi ningeruka na VW...
 
That is not my experience.

But then again, inawezekana watu wengine wanalazimisha kuwa na BMW wakati hawajafikia matawi hayo.
Sawa mkuu.. Kama huko yanapolazalishwa wanalalamika ila bongo huku tunaonunua used wengine wapo matawi zaidi yao basi tujipe pongezi.
 
Nadhani Zote sawa, japo nimesekia kwamba, X5 nyingi ni changamoto sana.

Pia hata bei yake haitofautiani sana.
Zote zina range from 24mil pamoja na usajili
Hiyo tiguan itakuwa
 
Sijui kama umeelewa nilichokizungumzia hapa? Hizi gari hata kama no ya 2020 ikisha gonga 100k miles uiogope; ndio maama asilimia kubwa silikaribia hiyo mileage zinashuka bei sana.
Hivi hizo gari zipo Tanzania pekee au vipi mbona Ulaya. Huku Ujerumani hamna mtu analia hayo machozi ya 100k. Wabongo ni kukimbia service. Gari sio bahari useme inajitegemeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…