Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Acha wakaze majuto ni mjukuu. Kuna jamaa yangu aliingiza VW baada ya wiki gia zikagoma kuchange tulishinda geteji siku mbili mfululizo; sijui saa hizi huko aliko Ina gali gani maana niliacha bado anahangaika nayoUkiwaambia wanakaza fuvu. Hiyo 100k mbali sana