Achana na Ulaya,Kenya hapo zimejaa kibao. Wabongo utawaweza. Halafu wanazungumzia 100,000km ambayo ni kama 60,000miles tu gari mbichi kabisa.Hivi hizo gari zipo Tanzania pekee au vipi mbona Ulaya. Huku Ujerumani hamna mtu analia hayo machozi ya 100k. Wabongo ni kukimbia service. Gari sio bahari useme inajitegemeza
Tdi v6 hutojutia lakini husijaribu kuchukua v5 hiyo ni balaa kama mgonjwa wa kansaKweli kila MTU anakuwa anapenda kitu Fulani maana Mimi nikipishana na Volkswagen tourage huwa napunguza mwendo ili niichek vizuri hiyo chuma ni 8 speed transmission alafu ni DSG(direct shift transmission).
Kuanzia maporini Hadi mjini hii mashine iko vizuri sana,hii gari ndiyo gari ya ndoto zangu
X5 24m? maana hyo bei hata haria tu hupatiNadhani Zote sawa, japo nimesekia kwamba, X5 nyingi ni changamoto sana.
Pia hata bei yake haitofautiani sana.
Zote zina range from 24mil pamoja na usajili
Vw gani mkuu ? Na uko mkoa gani? Ninayo huu mwaka wa nane zaid ya kumwaga oil sijaona tatizo lake. Ila kimbembe uweke mafuta ya videbe ama petrol pump zisizoeleweka ndio utajutia.Acha wakaze majuto ni mjukuu. Kuna jamaa yangu aliingiza VW baada ya wiki gia zikagoma kuchange tulishinda geteji siku mbili mfululizo; sijui saa hizi huko aliko Ina gali gani maana niliacha bado anahangaika nayo
Walalamishi wapo tu, hawakosi.Sawa mkuu.. Kama huko yanapolazalishwa wanalalamika ila bongo huku tunaonunua used wengine wapo matawi zaidi yao basi tujipe pongezi.
Naam, X5 24MILX5 24m? maana hyo bei hata haria tu hupati
Uongo uongoNaam, X5 24MIL
Sijajua ni harrier gani unayomaanisha , lakini tako la nyani 2003 ni TZS 24MIL
hizo gari zina bei ju lakini ni upuuzi si bora ununue tiguanNaam, X5 24MIL
Sijajua ni harrier gani unayomaanisha , lakini tako la nyani 2003 ni TZS 24MIL