TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

Built in decoder(king'amuzi)-mkuu una maana gani hapo,yani inakuwa hamna haja ya kununua king'amuzi,inakuwa imeunganishwa na ki'ngamuzi cha campuni gani?
Decoder IPO ndani ya TV inakuwezesha kupata free channels zikiwemo local channels kwa kutumia antenna tu
 
mkuu chanel za ndani zinashika kwa kutumia hicho king'amuzi kilichopo ndani ya hiyo sumsung ni zipi mkuu,naomba list ya za ndani na nje
 
Decoder IPO ndani ya TV inakuwezesha kupata free channels zikiwemo local channels kwa kutumia antenna tu

Uko sawa. Nilikuwa na Star times lkn nimetupia uvunguni nw kwa sababu nakamata local channels zote, na channels zingine free kama vile Aljazeera, BBC World, CNN, KTN, Citizen, Emmanuel Tv, CNN, nk ... na zingine siwezi kuzitaja wasije kustukia wakafanya yao kwa sababu zipo kwenye ving'amuzi vya kulipia kwa antena tu! Tena picha iko clear kinoma. Nikitaka king'amuzi nw I will go for Dstv coz local channels nazipata kwa hii antena tu.
 
mkuu @bnl arusha mna ofisi?

Unaletewa na basi la kilimanjaro, we lipia runinga, ziko bomba mbaya alafu ni brand new sio used, kitu kipya wachana mwenyewe kwa box
 
Unaletewa na basi la kilimanjaro, we lipia runinga, ziko bomba mbaya alafu ni brand new sio used, kitu kipya wachana mwenyewe kwa box

kwa tsh. 600,000 pamoja na usafirishaji kuja arusha?
 
Ni laki moja na sabini elfu au milioni moja na lako saba!? Kisa nione wazungu?
 
Back
Top Bottom