Yaani Wabongo ni wavivu sana, upo kwenye mtandao halafu unashindwa kuperuzi Samsung H6400 ina kioo cha ukubwa gani unakalia kupost tu!
Haya basi Samsung H6400 Series 6 ni 48".
Lingekuwa ni swali, watu wangecheki kwenye mtandao...Lakini ni biashara, ukitangaza maliza kila kitu. Hii ni TIP kutoka wangu. Take it...