Bob Chacha Wangwe naye atema ya moyoni, aungana na Lissu, japo mbowe ndiye rafikiye mkubwa!

Wanaoumia wote ni chawa wa Ccm, vyama gani vingine vinavyopiga debe kwamba Mbowe ni masta? Vile vya mfukoni vinasubiri script toka Lumumba ndo viongee hapo badaye! Kwa ss ni uvccm kila nusu saa kuna uzi mpya hapa
nadhani wale watakao kataliwa na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ndio watakao umia zaidi gentleman,

wasio husika hawatababaika na ushirikina wa watu wengine 🐒
 
Sasa shida iko wapi?
Akivuruga si anabwagwa miaka mitano ijayo?
Hio ndio faida ya Demokrasia.
 
nadhani wale watakao kataliwa na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ndio watakao umia zaidi gentleman,

wasio husika hawatababaika na ushirikina wa watu wengine 🐒
Wanaofanya big deal ni uvccm hao wajumbe wala hawana habare mkuu!
 
Bob Wangwe ameongea fact!

Samia akitaka kubadili katiba kuongeza muda wa utawala, CHADEMA ya Mbowe haitokuwa na moral authority ya kumpinga maana mwenyekiti wao si mfano mwema!
 
Mtoto wa Makamu mwenyekiti wa Chadema aliyekufa ajalini hayati Chacha Wangwe amesema huu ni wakati wa Tundu Lisu

Bob Wangwe amesema Mzee Mbowe sasa apumzike
 
Hivi wanaposema vijana taifa la kesho, wanawajumuisha na vijana wa chadema?
 
Hivi ndivyo alivyo andika Wakili Msomi?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…