euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Kwani huyu jamaa si producer mzuri tu sasa anafuliaje kiasi hcho wakati huku kitaa uswazi kuna madogo kibao wanajfanya wasanii unawarekodia kwa jiwe jiwe tu then unapga pesa mzuri enewei labda jamaa anataka kuimba na kukatka kweny steji siwezi jua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app