Bob Junior ampigia magoti Diamond Platnumz na kumlilia kama mtoto

Kwani huyu jamaa si producer mzuri tu sasa anafuliaje kiasi hcho wakati huku kitaa uswazi kuna madogo kibao wanajfanya wasanii unawarekodia kwa jiwe jiwe tu then unapga pesa mzuri enewei labda jamaa anataka kuimba na kukatka kweny steji siwezi jua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIPINDI HIKI UKITAKAKURUDI KWENYE GANE,ANZISHA UGOMVI NA MONDI AU ZUNGUMZA LOLOTE KUHUSU MONDI,HUENDA UKARUDI TENA,MONDINI BRANDI NA NI NYOTA A NDO MANA WATU WANAJISOGEZA KWAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…