Bob Junior: Mke wangu mzuri kuliko Wema Sepetu na Mastaa wote Bongo Movie

Kamjibu Wema baada ya yeye kwenda kujitangaza Bob ana mtaka. Ndo maana kamtolea mfano kwake na kusisitiza Kwa mademu wote wa bongo movie.

Kuna vuguvugu kati ya Wema vs Bob siku mbili tatu zilizo pita ndo maana.
 
Nakuelewa Bob kumsifia mkeo ila ulivyotawaja wengine na Bongo movie umekosea...subiri vita,lol, watu hata kama mkeo hana ubovu wowote watasema ana chongo..lol
Bongo movie kaisema tu kama msisitizo Kwa sababu ujumbe unaenda Kwa wema.maana na Wema yuko bongo movie.
 
In our culture, there are two things we never mention in public, your wife and your money
The African culture is already overshadowed by Western culture/civilization.

People can mention anything or showing to us anything unquestionably whenever they want , whenever they will feel.

By the way it's not good behavior but what can we do ?.If you try to stop 'em,All Activists will be over you in the name of freedom.
 
Mimi kwa upande wangu simpingi kumuona mkewake mzuri kuzidi wote kasababu kila mtu anajicho lake

rakini tukija kwenye mafanikio hapo kwenye b5 mavazi ml5 niliona kiki zitawaua hawa wasanii wetu

Kweli kabisa
Na Hilo la misifa anavaa nini ni kawaida au wanawaiga wasanii wa majuu
Maana wengine wanaweka insurance makalio Halafu wanajisifia kwenye media

Mwingine Jino la almasi akatangaza eti kaliwekea na insurance hao wa majuu
 
Kwanza tuanze na Yeye je, ameshaacha Kusukuma kwa kwenda mbele japo Kimaumivu Kuta za Sinza na Mbezi Beach?
 
Mke mzuri sema ana vindevu flani. Mademu wenye vindevu wana bahati sana na wanajua kupenda. Hongere mkuu.

Ungetuwekea na picha ya uyo Bobu Junia tumuone.
 
Huyo uliyemuonesha hapo juu bila shaka ndyo mke wa huyo Bob junior

Kapata mke mzuri Sana Sasa tuoneshe picha ya huyo mwanaume msanii Bob junior tumuone na sisi wa hapa tinde shinyanga
 
Katoto kazuri kweli
 
pia anakatika kuliko dada zake.
 
Sasa mbona huyo Me ndiye ana mwonekano wa kike kike kabisa kuliko hata huyo Mkewe, au macho yangu yana matege nini [emoji848]

Nimegundua kuna shida mahali kwa haya majina ya kina "Junior" [emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeye na mkewe wana utofauti gan? Kutwa kugombania vipodozi na make up, msieeeeeew. Bado kuibiana mabwana tyuuh.
 
Huyo uliyemuonesha hapo juu bila shaka ndyo mke wa huyo Bob junior

Kapata mke mzuri Sana Sasa tuoneshe picha ya huyo mwanaume msanii Bob junior tumuone na sisi wa hapa tinde shinyanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaah
 
Huyu Mke ni mzuri Sawa haya wekeni na picha ya huyo Bob junior sasa
 
Ila wema ana nyota ya mafanikio sana kwa sababu wooote alio tembea nao bin kuwapa Mbunye hawajawai kushuka kimafanikio...inasemekana ukipata jasho la wema huyu mtoto wa Balozi sepetu! yaani tayari umekuwa tajiri!

ukianza na kayumba maarufu, mpka Mtoto wa Tandare ni nyota ya Wema ile sasa wakitaka kuimarisha nyota zao zaidi wamlipe Wema waone maajabu! hivi anaishi wapi huyu wema!
 
Huyu ndio mke wake sio?
 
samahani mkuu hii picha ya mwanaume au mwanamke?
 
Kweli kabisa
Na Hilo la misifa anavaa nini ni kawaida au wanawaiga wasanii wa majuu
Maana wengine wanaweka insurance makalio Halafu wanajisifia kwenye media

Mwingine Jino la almasi akatangaza eti kaliwekea na insurance hao wa majuu
Ila hapa tuelewe tu Maana ya usanii ni kua msanii msanii kweli yaani kila kitu ni usanii usanii mpaka kwenye video wanavyoekiti sio maisha yaao

Tusimlaumu sana ni msanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…