Bob Junior: Mke wangu mzuri kuliko Wema Sepetu na Mastaa wote Bongo Movie

Bob Junior: Mke wangu mzuri kuliko Wema Sepetu na Mastaa wote Bongo Movie

Mke mzuri sema ana vindevu flani. Mademu wenye vindevu wana bahati sana na wanajua kupenda. Hongere mkuu.

Ungetuwekea na picha ya uyo Bobu Junia tumuone.
huyu
Screenshot_20220612-210216.jpg
 
Huyo mke wa babu Junia ndio yupo kwenye picha?

Kwakweli ni mzuri ila sio sana
 
Back
Top Bottom