ndo matatizo yenu miafrika,kama alikuwa chain smoker tusiseme!kama fegi zimechangia kifo chake je utasemaje?wewe anakuhusuje bob makani?ndugu?jamaa au rafiki?Wakati wa msiba mzito kama huu hatutegemei mzaha! kama alikuwa anapiga fegi wewe inakuhusuje? Ndugu jamaa na marafiki wanatarajia maneno ya kuwafariji kipindi hiki kigumu! R.I.P Mwenyekiti mstaafu wa CDM!!
ndo matatizo yenu miafrika,kama alikuwa chain smoker tusiseme!kama fegi zimechangia kifo chake je utasemaje?wewe anakuhusuje bob makani?ndugu?jamaa au rafiki?
umeshinda..iam wrong you are right.wacha kasumba za kijinga unatuita miafrica we mzungu au? Au una ona wazungu wa maana sana? Wapo wazungu wengine wajinga kuliko hata wewe! Pia kifo cha mtu au sababu ya kifo cha mtu anaijua daktari sasa wewe unapotutangazia alikuwa anavuta fegi tuamini ndio zimemuua? Wewe ni daktari hadi u arrive kwenye hiyo conclusion? Wakati wa msiba watu hawapendi kusikia maneno ya kipuuzi kama yako! Binadamu wote ni ndugu zangu hivo hata huyu maadamu ameumbwa na mungu ni ndugu yangu!!
umeshinda..iam wrong you are right.
Kumbe Bob alikua Muslim? Safi sana. Kaenda peponi huyo, maana amekufa akiwa ndani ya dini ya hakiHuyu Mzee Wangu sijawahi pata Jibu hadi leo Hii Ndugu zake ni Wakristu ila yeye ni Muislam na Watoto wake wote kama sikosei Ismail na Medi wale Wahezaji Mpira Wa Kikapu Misukuma ile Mirefu mirefu sana kama Baba yao...
Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya Marehemu Panapo Stahili...
Bageshi...
Dini ya haki ni ipi tena Bwashee?Kumbe Bob alikua Muslim? Safi sana. Kaenda peponi huyo, maana amekufa akiwa ndani ya dini ya haki
Peponi ndiyo wapi? Akili za kuambiwa changanya na zakoKumbe Bob alikua Muslim? Safi sana. Kaenda peponi huyo, maana amekufa akiwa ndani ya dini ya haki
Muhammad mwenyewe hayuko peponiKumbe Bob alikua Muslim? Safi sana. Kaenda peponi huyo, maana amekufa akiwa ndani ya dini ya haki
Minyukano ya kidiniMuhammad mwenyewe hayuko peponi