TANZIA Bob Makani afariki dunia

TANZIA Bob Makani afariki dunia

R.I.P mzee wetu , ila huyu mzee cdm walimtupa na hawakumpa hata matibabu apart from mchango mkubwa alioutoa kwenye chama


Kama hii comment inao ukweli wowote ule ndani yake, basi naomba uongozi wa chama uitumie comment hii kama onyo la kujikosoa. kuna nahau muhimu mbili uongozi wa chama unatakiwa kuzingatia katika jambo hili, yaani kama ni kweli Mzee Makani alisahauliwa na chama kiasi hicho: Moja, kila mpandangazi hushuka! Pili, "be nice to the people you meet on your way to the top, because you might need them on your way down."
 
R.I.P Bob Mkani. Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi. Ulifanya kazi kwa utumishi uliotukuka mno.
 
398899_427667710589276_1821937289_n.jpg

RIP KAMANDA MKUU
 
Habari zilizothibitishwa na uongozi wa CHADEMA ni kuwa Mzee Bob Makani,mwenyekiti mstaafu wa chama hicho amefariki dunia jioni ya tarehe 9 june 2012.Mjengwablog inaungana na familia yake,chama chake na watanzania wote kuomboleza msiba wa mwanaharakati huyu.Mungu amlaze mahali pema paradiso

[TD="align: center"]
[/TD]
source mjengwa blog
 
baraka moze kuna uzi tayari uliowekwa tangu jana kuhusu taarifa hizi, ni vyema ukachangia kule kama una taarifa mpya
 
Last edited by a moderator:
R.I.P Mzee wetu Makani
Poleni wanachadema wote
What a coincidence - Katika kalenda ya CDM - picha yake kama kiongozi mstaafu(Mwenyekiti wa pili) wa CDM ipo katika page ya June 2012

Maneno haya yanasomeka katika ukurasa huo: "CHADEMA inaamini kwamba ili tuweze kutoka hapa tulipo, panahitajika uongozi wenye maono ya Kizalendo, uadilifu, makini na wenye upeo ambao utasimamia kikamilifu ufutailiaji na uvunaji wa rasilimali za nchi kwa manufaa ya nchi na watu wake"

Tunaamini wewe ulitupa hayo na uliiandaa vijana wakuitoa nchi hapo ilipo.
Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi
 
R.I.P mzee wetu , ila huyu mzee cdm walimtupa na hawakumpa hata matibabu apart from mchango mkubwa alioutoa kwenye chama
huna akili wewe,sokoine alivyofia morogoro alitupwa?huyu marehemu ndiye wakili wa sabodo, jiulize mzee sabodo alishindwa kumpeleka india kwa matibabu?ugonjwa kama cancer hata uende wapi utakufa tuu
 
R.I.P Bob Makani
Raha ya Milele umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umwangazie Apumzike kwa Amani
Amina
 
Habari zilizothibitishwa na uongozi wa CHADEMA ni kuwa Mzee Bob Makani,mwenyekiti mstaafu wa chama hicho amefariki dunia jioni ya tarehe 9 june 2012.Mjengwablog inaungana na familia yake,chama chake na watanzania wote kuomboleza msiba wa mwanaharakati huyu.Mungu amlaze mahali pema paradiso

[TD="align: center"][/TD]
source mjengwa blog
Mkuu hebu tuondolee historia hapa changia uzi wa wenzako ambao upo tokea jana
 
Mungu akulaze mahali pema peponi Bob Makani....
 
Back
Top Bottom