TANZIA Bob Makani afariki dunia

TANZIA Bob Makani afariki dunia

POLEN SANA ndg na wanafamilia na CDM. Pumzika kwa aman mzee wetu
 
POLEN SANA ndg na wanafamilia na CDM. Pumzika kwa aman mzee wetu


Huyu mzee 1950s tayari alikuwa msomi wa Makerere University. Alitumia hela yake nyingi kuendesha kesi ya uchaguzi kigoma.Mungu alize roho yake pema peponi.
 
Wakati wa msiba mzito kama huu hatutegemei mzaha! kama alikuwa anapiga fegi wewe inakuhusuje? Ndugu jamaa na marafiki wanatarajia maneno ya kuwafariji kipindi hiki kigumu! R.I.P Mwenyekiti mstaafu wa CDM!!

Jamaa unahasira kweli, vipi kwani utani hauruhusiwi msibani? Anyway take it easy bro, utani ni sehemu ya kupunguza machungu kwa wafiwa.
 
Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki. Mumngu ampumzishe kwa amani mzee wetu Makani!
 
RIP Bob Makani, poleni wanafamilia, poleni wote mlioguswa, poleni CDM, poleni wanashy!
 
Bob Makani is no more physically, morally and in deeds he is alive as we all see CDM carrying out his belief and fight for our national liberation from the corruption monster threatening our social economic development.
 
Poleni sana wafiwa wote na mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema
Wana CDM poleni sana kuondokewa na mwenyekiti mstaafu.
 
Pumzika kwa amani Jembe letu la UKWELI Bob Makani.
jembe.JPG
 
R.I.P Makani,asante kwa yote mema uliyotenda kwa ajili ya nchi yako.
 
Jamaa unahasira kweli, vipi kwani utani hauruhusiwi msibani? Anyway take it easy bro, utani ni sehemu ya kupunguza machungu kwa wafiwa.

Uwe makini na utani wa kwenye misiba. Kuna jamaa aliwahi kutandikwa vichwa msibani mpaka meno yakatoka.
 
Ver sad.

R.I.P kamanda wetu.
Tulikupenda sana oli uendelee kupambana na mamluki wa nchi yetu lakini mungu amekupenda zaidi R.I.P
BOB NYANGA MAKANI
 
RIP Comander.
However nimesoma hii thread yote nikitegemea kupata wasifu wa marehemu but nimeambulia patupu.
waliokuwa wanamjua marehemu tafadhali tuwekeeni wasifu.

WanaCHADEMA Mko wapi mwe!
 
mungu akulaze mahali pema peponi,poleni sana wanae gie(grace),tume(antony),Dr julie na kay pamoja na wale wadogo zenu wengine!
 
Poleni WanaCDM na familia ya Marehemu. Mwenyezi Mungu mwenye rehema, ailaze roho ya Bob Nyanga Makani mahala pema. AMEN.
 
Back
Top Bottom