Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Sauti nzito yenye rafudhi ya kisukuma. Sauti iliyojaa mamlaka na hekima.Namkumbuka kipin BOb makani pale CHADEMA SQUARE, alipewa nafasi ya kuwasalimia watanzania, maskini ghafla akadondoka, KWANGU Mimi niliyahisi maumivu makali moyoni mwangu, kisha nikasema ukombozi una gharama zake, kamwe sitaisahau sauti yake
Rest In Peace Commander,U will always be in our Hearts.Habari za uhakika muda mchache uliopita nimepata taarifa ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kabla ya Mbowe...Mzee Bob Makani amefariki.
R.I.P Bob Makani
Source: Kutoka kwa ndugu zake.