Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Wewe gamba huu sio muda wa kuulizia chazo kitakusaidia nini? Toa umbeya hapaNaona mpaka muda huu hamna mtu aliyesema chanzo cha kifo. Sijui kwanini.
RIP Mzee Bob Makani
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi
Amina
Na nyie kila sehemu lazima mlete visiasa vyenu.Mwenyezi akutangulie mzee wetu,mwambie Baba wa Taifa CDM inakaribia kuwakamata wahujumu uchumi kama enzi zake... mwambie tunamwomba apendekeze adhabu.
Wekeni eulogy yake kwa maana ya wasifu wake kamili alipokuwa hai, siyo mlolongo wa "RIP" tu.