Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waongo wanasema wanajua, wakweli wanasema wanaamini.
Maisha haya quantum pertubations zinakataza kujua chochote, hata kujua kwamba hujui nako suspect.
Ukisema nalazimisha wakati ushaambiwa "for all we know" unatulazimisha tu doubt intelligence yako.
Halafu Tuff Gong hawezi kuamini ninachoamini mimi kwa sababu mimi siamini.
Asingeitwa Rasta? Rasta ni nini?
Bob Marley through rastafarianism wana amini kwenye mungu na hiyo movement yao inaanzia tangu enzi ya Marcus Garvey katika harakati zake za kuwaunganisha watu weusi wenye asili ya africa warudi Africa hivyo wakati anaondoka jamaica kwenda marekani kuna maneno alisema ambayo nimeya-bold hivyo kipindi ambacho anatawazwa Haile Sellasie kuwa mfalme jamaa wakaenda kwenye bible na kutafuta yale maneno aliyowaachia Marcus Garvey kwenye biblia na kukuta verse katika Ufufunuo 19:16 ambayo wao waliitumia ku-justify Haille sellasie kama mungu wao.
Rastafarianism, a religious and cultural movement that originated in Jamaica around 1930. The movement was named after Tafari Makonnen, which was the original name of Haile Selassie I, a prince who in 1930 was crowned emperor of Ethiopia. Ras means "Lord" in the Amharic language. Selassie's other titles included King of Kings, Lord of Lords, and Conquering Lion of the Tribe of Judah.
The central doctrine of Rastafarianism, also known as Rasta, is that Haile Selassie is the God of the black race. This belief continued to be held even after his death in 1975. The Ras Tafari movement is thought to be a strand of the "Back to Africa" movement created by Jamaican leader Marcus Garvey after he moved to the United States and settled in New York City in 1916. Garvey preached black pride and black emancipation, and advocated a return of black Americans to Africa, their ancestral homeland, and particularly to Liberia and Sierra Leone. According to a widely believed report, Garvey told his followers in Jamaica, at his departure for the United States, "Look to Africa where a Black King shall be crowned; he shall be your redeemer." After the coronation of Haile Selassie, many Garveyites began to search the Bible for confirmation of the prophecy. The confirmation was found in Revelation 19:16, which reads: "And he hath on his vesture and on his thigh a name written, King of Kings, and Lord of Lords." With these events the Rastafarian movement was born.
Hahahahaaa. Mkuu, inaonekana we huo ndio wimbo wa Bob unaoujua. Pia maana ya Wimbo huo umeilazimisha iendane na falsafa zako.
Hivi unamuamini Mungu? Unaamini Yupo?
Hii ni habari ya kisiasa zaidi kuliko kidini.
Nikiamua kutafuta verses za biblia kuhusu mtume hata kutoka Pangani naweza kuzipata.
Hapo Kiranga, wanaamini mungu ni kwa mujibu wa mungu wao kama imani inavyo wataka kwani wao wamechua vipande vidogo kutoka kwenye christianity ideology na ideology za wayahudi na kuamini wao mungu wao ni huyo Haile Sellasie. Tatizo linakuja kwetu sie mungu tunaamini ni uwe mkristo au islam lakini hata mababu zetu kabla ya kuja hizi dini walikuwa wana miungu yao ila kwa kuwa dini za mababu zetu zilionekana si chochote mbele ya hizi zilizoshushwa wakaziita super natural power but in reality wao waliamini ni mungu, hivyo wahindu nao wana mungu wao ambae ni Ng'ombe, mabudha nao wana mungu wao hivyo hata bob na marastafarian wenzake wanaamini kwenye mungu ambae mie na wewe tunaweza ona sio lakini wao ndio iman yao inawatuma hivyo though wao.
Nimekusoma na nimekuelewa kwa umakini mkuu.
Kasome vizuri falsafa ya I'nI utaelewa maana hujaitambua bado. Kwa kifupi, Roho wa Mungu yupo ndani ya kila kitu, unapoambiwa ure the image of God, haina maana una kichwa, miguu au sura kama ya Mungu, bali Tunatambua Mungu ni Roho, hana sura, hana mwili wala haonekani, hivyo u have the image/roho wa Mungu ndani yako na wakristu wanatambua maana ya Roho Mtakatifu, ni roho wa Mungu ambaye anakaa ndani Yetu, sema tunatofautiana kumtambua na kumtumia. Kama huamini uwepo wa Roho wa Mungu ndani ya mwanadamu is up to you, hujalazimishwa, unaweza kuendelea kuamini Mungu yupo tu angani/mawinguni.
Kusoma Biblia sio njia ya kuokoka, i know that, unaweza ukaisoma mwanzo mpaka mwisho ukapata Negative thoughts, kama hujakubali Roho wa Mungu ndani yako akuongoze.
Kwa kukujibu simple, Im a Nazarite, who follows laws of Judaism.
I believe in YHWH, i believe in YAHSHUA. Also I RESPECT the root of king DAVID, God alishasema ''He will sit on the throne of David'' kuwatetea watu wake mpaka mwisho wa dunia.
I Respect Ethiopian Monarch which came from Solomon and Queen Makheda. I honour Ethiopia as a blessed place with the Ark Of Covenant and the origin of Mankind (Im Archaeologist, i understand that) and Much respect also to Lalibela.
I respect humanity, mother Earth, Africa, My body as first temple, with Love and being Natural.
That is my spiritual lifestyle
ONLY YHWH CAN JUDGE ME, NOT ANY HUMAN BEING.
Respect!
Mie siamini mungu.
Na ninachoifurahia "Get Up, Stand Up" ni kwamba haikubali mapokeo. Lakini ninachojiuliza zaidi ni, kama Bob alijifikiria na kufikia kuamini kwamba mungu hayupo kama ninavyoamini mie leo, ile hali ya udini iliyo katika Urasta ingemruhusu kuwa si muamini halafu bao akabaki kuwa "Mfalme wa Reggae"?
Hivi Obama leo anaweza kusema kwamba yeye alivyoishi na mama yake huko Indonesia kaona imani tofauti, kaona ugumu wa maisha tofauti na Wamarekani wengine, na anakubali kwamba ana shaka kama mungu yupo?
Katika hali yake ya kisiasa kweli ataweza kusema hivyo na kushinda kuwa rais wa Marekani wakati ambapo huyo Mitt Romney tu watu wanamsema kwamba si Mkristo kwa sababu ni Mormon, wengine wanamsema Obama kwamba ni Muislamu 9ingawa waislamu nao wanaamini mungu lakini Wamarekani wengine hii ni disqualification tayari).
Enough of Bob Marley lyrics, how many know about Burning Spear's "Rasta Business"? na jinsi gani mtu analazimika kwenda na upepo ili kufika anapotaka?
Katika sayansi ni rahisi kwa the really innovative and bright to be different on a tangent, kwa sababu hata wakipingwa, sayansi ina converge kwenye ukweli. Ndio maana Einstein alipo improve on Newton, Sir Arthur Eddington akaja ku verify with the 1919 solar eclipse.
Katika maswala ya imani solar eclipse kama ya 1919 itatoka wapi? Wajanja wa imani watajuaje kwamba waki renounce old ways watakuwa vindicated?
Wanajua imani imejaa mashairi yasiyo empirical vindication, kwa hiyo ujanja wao uliowafanya waweze kupaa mpaka kufika juu unawaambia imba mashairi yaliyozoeleka, lakini panda mbegu ya mabadiliko pole pole.
Kwa Bob, mbegu hii inaonekana katika "Get Up, Stand Up".
Years and years to come, when the god idea is going to be as laughable as the flat earth, this song will rescue Bob Marley's reputation.
Mie sio tu nazijua nyimbo za Bob, najua mpaka Bob alivyokuwa anampelekea Rita mashairi yake yasahihishwe lugha kwani Rita alikuwa anajua lugha zaidi ya Bob.
Na nimesoma na watu Tambaza amabao wanakuja shule si na madaftari ya baiolojia, bali ya mashairi ya Bob Marley, kuna kipindi cha mashairi ya Bob penda usipende, form two wakati wengine wanajiandaa na mtihani wa taifa watu wako studio wanarekodi. Kwa hiyo si wa kuniambia mie sijui mashairi ya Bob wakati naiongelea reggae ya kina Jimmy Cliff, Toots and The Maytals na Ska iliyokuwepo kabla ya Bob.
Unaposema naamini au siamini mungu, ni lazima ueleze mungu kwa maoni yako ni nani kwanza, nisije kusema namini au siamini wakati kumbe mungu unayemsema wewe tofauti.
Mungu ni nini?
nough nough respect man!
U seem to know what u are talking about.
Mungu ni nini?
Mungu ni nini?
amini unavyoamini jua unavyojua
Mungu ni nini?
Huamini mungu?Mie siamini mungu.
To the contrary, mie sitaki mtu yeyote aamini at all.
Ni great spirit ambayo haina mwanzo wala mwisho, iliyokwepo kabla ya formation of universe, inayoongoza vitu ulimwenguni.