Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,240
Does that spirit have mind so that it can make choices & judgements?
Yes, thats why nilisema it control the universe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Does that spirit have mind so that it can make choices & judgements?
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa_chezea kiranga wewe.
kwako wewe, mungu ni nini?
Mungu ni mazingaombwe yanayotumiwa na wajanja kuwateka akili na kuwaweka wengine kwenye mstari wanaoutaka wao.
Mungu ni matumaini kwa mtu asiyejua lakini anayetaka kujifariji.
Mungu ni deal la mwenye kutaka mali kwa kutumia utamaduni wa kukubali mapokeo bila maswali.
Mungu ni sheria ya mwisho iliyowekwa na binadamu bila ya kuwa na uhakika.
Mungu ni imani ambayo ingawa wengi wanajua ina mapungufu, hawana ujasiri wa kuikana kwa sababu imejengwa na insurance policies nyingi za mioto, kufuru, laana, tamaduni etc.
Mungu (kuwepo kwake) ni uongo mkubwa kabisa usioweza kuthibitishwa kuwa kweli.
Mungu ni njia ya watawala kuendeleza tawala zao tangu enzi za kabla ya Gilgamesh, Mafirauni, wafalme wa Uchina ya kale mpaka George Bush, Barack Obama, Ahmadinejad na House of Saud.
Mungu ni uongo mzuri usioushinda ukweli mbaya.
Mungu ni meli ya Titanic, kabla hujamtest kiundani anaonekana hazami, ukimuweka katika bahari ya majaribu anaonekana kuzama kwa mitobo katika kinga zake inayoingiza maji ya bahari ya utafiti.
Katika ulivyovitaja, kwa mtazamo wangu vitakuwa ni kweli endapn nitaondoa neno 'MUNGU' na kuweka neno 'DINI'. Ila huo ni mtazamo wangu, na wewe una mtazamo wako pia. Kila mtu ana haki ya kuamini anachokiona ni sawa.
Hakuna mungu bila dini, na hakuna dini bila mungu.
Mungu anajengwa katika misingi ya dini, na dini isiyo mungu si dini.
Dini ndio ili-invent hii idea ya Mungu. So may be tukijua chimbuko la dini tunaweza fikia makubaliano flani.
Dini za kale kabisa ambazo ndio chimbuko ya hizi tulizonazo,almost zote zilikua polytheist. Kutoka kwa ancient Egptians,Greece,Persia mpaka Roman Empire watu waliamini katika multiple deities ndio maana hizi siku saba za juma, kila siku ilitengwa kwa ajili ya one deity e.g sun-day, moon-day(monday), saturn-day(saturday) e.t.c
Sasa hizi morden religions ni reinvention ya ancient ones ila kila moja ikitaka kuja na idea ya one deity na kupigana na nyingine kua deity wao ndio halali, though ushahidi wa multiple deities katika taratibu zao za kuabudu na influence ya upagan uko wazi sana.
Kwa hiyo kwangu mimi hii idea ya God ni scrambled idea,bado ni an idea in the making,bado iko kwenye construction ndo maana ina utata mwingi sana, walioi-invent walikua na multiple deities leo watu wanaaminishwa katika one deity.Kila mtu anasema yake kuhusu God and may be Bob alikua ana idea yake ya God tofauti na tunavyoichukulia!
Hakuna mungu bila dini, na hakuna dini bila mungu.
Mungu anajengwa katika misingi ya dini, na dini isiyo mungu si dini.
Kuamini uwepo wa Mungu, sio lazima utumie mawazo ya dini, bali kwa fahamu tu wa mtu binafsi. Dini ni taratabu na sheria ambazo mwanadamu amejiwekea ila kuna watu sio religious ni spiritual.
(According to Archaeology) Natufians million of years walikuwa wanaamini kuna supernatural power ila hawakuwa na dini.
Mimi naamini uwepo wa Mungu sio kwa sababu ya maneno ya dini.
Usomi mtupu.
Kwa maneno mengine, mungu hakuumba watu, watu ndio wamemuumba mungu kama wazo lililokubalika!
Nikisema sijui utasemaje?
Kwamba sijui nini chanzo cha maisha haimaanishi chanzo ni mungu.
Kama vile nikiulizwa "Nini square root ya 2?" haimaanishi kwamba ni lazima iwe 1.
Bob ni snitch aliwageuka the wailers, therefore hakumwamini Mungu
Yes, thats why nilisema it control the universe.