LGE2024 Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Unaandika takataka we chawa
Yaani tupindishe haki za wengi kisa gharama no haiwezekani

Mbona hamsemi gharama ya hela inayoptea kwenye ripoti ya CAG
 
Unaandika takataka we chawa
Yaani tupindishe haki za wengi kisa gharama no haiwezekani

Mbona hamsemi gharama ya hela inayoptea kwenye ripoti ya CAG
mihemko yann sasa gentleman na huna hoja?

Yote yanawezeana kwa Neema na Baraka za Mungu tu gentleman
 
Safi sana ili waliopo waendelee kuongoza mpaka pale sheria itakapo fanyiwa marekebisho...Wanasheria bwana....wetu bhana mnataka sana kiki mjue aisee. Hivi mnajua usheria wenu inabidi mkahutumie je na wapi?
 
Unaandika takataka we chawa
Yaani tupindishe haki za wengi kisa gharama no haiwezekani

Mbona hamsemi gharama ya hela inayoptea kwenye ripoti ya CAG
Huyo mjinga mimi nilishampiga tofali kitambo
 
Hii combination ya mawakili ni hatari sana!!

..hao mawakili hawawezi kusaidia kitu kwasababu mahakama inafanya maamuzi kwa maelekezo ya CCM, na sio kwa kuzingatia sheria.
 
Bado habari aijakamilika....ongezea kua mawakili wa CHADEMA na wanachama wa CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…