Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Namshukuru Mungu kwa kinijibu maombi yangu kwako, na kwamba nafurahi hauporomoshi matusi mazito mazito tena..Najuwa, huyo unaye muita "...kiongozi wenu makini, shupavu na kipenzi chenu..." (siyo cha waTanzania), ndiye mungu wako anayekulazimisha kuja humu kila siku na kuweka takataka kama hizi.
Najuwa pia kwamba mnayo hofu kubwa sana sasa hivi kwa sababu mnaiona njia ya kuwaondoa madarakani ipo dhahiri kabisa.
Sasa basi, kama huko kichwani mwako bado kuna viakaili kidogo, nakushauri jambo muhimu hapa. Msithubutu kumwaga damu ya waTanzania wakati mking'ang'ania kubaki madarakani. Mkilazimisha hivyo yatawakuta makubwa.
Ngoja nimalize kwa kukufahamisha pia,kwamba napoteza muda mara kadhaa kukujibu hivi kwa sababu nategemea akili itawarudi na kuacha ushetani mnao ushikilia kulazimisha kubaki madarakani..
Baada ya hapa, nitaendelea na majibu yanayo kustahili kama kawaida. yako.
naona bado kuna element za mihemko, unyonge na kutia huruma bado uko nazo, nitakuombea Baraka na Neema za Mungu ziambatane na kuandamana nawe katika maeneo hayo ndani ya moyo na akili yako, amen?
hata hivyo,
ni vizuri ikaeleweka vizuri kwamba nchi yetu ni ya Kidemokrasia, inayofuata misingi ya utawala wa sheria, katiba na utawala bora...
hakuna mahali nchini,
wahalifu wanaweza kupata nafasi ya kuvuruga au kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi nchini..
vyombo vya ulinzi na usalama nchini,
viko tayari kushirikiana na raia wema wote nchini wenye taarifa zozote zitakazosaidia kutiwa nguvuni kwa wahalifu wa aina yoyote...
ni muhimu sana kuzingatia sheria bila shuruti kwa amani na usalama wako binafsi 🐒