Hapa ndipo kwenye mtihani wa justice is for sale in Tanzania!.
1. Serikali ifanye mabadiliko ya sheria mpya ya uchaguzi na kufuta sheria ya zamani.
2. Kuunda Tume Huru ya Uchaguzi
3. Kisha kuitisha uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sheria ambayo haipo.
4. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kusimamiwa na Tamisemi badala ya Tume Huru
5. Wajibu maombi wataambiwa wawasilishe mahakamani dhamana ya gharama zilizoingiwa
6. Watashindwa na kesi ...
Kiukweli kabisa Taifa letu tunalaaniwa kwa mengi, hizi haki zinazouzwa kwa kuthaminishwa na fedha, zina matokeo mabaya kwa mustakabali mwema wa nchi yetu na viongozi wetu.
Angalia mwaka 2019 nilishauri nini na nikaweka angalizo fulani ushauri huo usipofuatwa, ushauri ulipuuzwa but then look at what eventually happened!
Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Mutatis Mutandis ya uchaguzi wa serikali za mitaa imeisha anza, uchaguzi mkuu wa 2025 hizi Mutatis Mutandis zitaendelea, then 2026 or 2027 tutakumbushana!.
P