LGE2024 Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
All stars team ya mawakili
My man
Anadhani kikaratasi alichopewa chuo kikuu na law school kina nguvu hivyo
Hiko kikaratas kingekuwa rahisi kukipata hata wewe ungekuwa nacho. Tatizo uwezo huna
Katiba ya nchi , sheria za nchi, judges na wanasheria wame approve mifumo ya kupata hicho kikaratasi, ww ni nani?
 
Ninacho, lakini sikitumii kijinga, wakati nafanya Bar examination Mahakama Kuu Arusha, yeye alikuwa bado anatembea na dumu na mfagio
 
maombi yote yatajibiwa kwa kuzingatia gharama za maandalizi ya uchaguzi zilizotumika, athari na hasara za kutofanyika uchaguzi huo na hatua ya maandalizi ya uchaguzi huo iliyofikiwa,
Hapa ndipo kwenye mtihani wa justice is for sale in Tanzania!.
1. Serikali ifanye mabadiliko ya sheria mpya ya uchaguzi na kufuta sheria ya zamani.
2. Kuunda Tume Huru ya Uchaguzi
3. Kisha kuitisha uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sheria ambayo haipo.
4. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kusimamiwa na Tamisemi badala ya Tume Huru
5. Wajibu maombi wataambiwa wawasilishe mahakamani dhamana ya gharama zilizoingiwa
6. Watashindwa na kesi ...

Kiukweli kabisa Taifa letu tunalaaniwa kwa mengi, hizi haki zinazouzwa kwa kuthaminishwa na fedha, zina matokeo mabaya kwa mustakabali mwema wa nchi yetu na viongozi wetu.

Angalia mwaka 2019 nilishauri nini na nikaweka angalizo fulani ushauri huo usipofuatwa, ushauri ulipuuzwa but then look at what eventually happened! Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Mutatis Mutandis ya uchaguzi wa serikali za mitaa imeisha anza, uchaguzi mkuu wa 2025 hizi Mutatis Mutandis zitaendelea, then 2026 or 2027 tutakumbushana!.

P
 
ni muhimu kua wazalendo wastahimilivu na wenye subra kwenye jambo hili muhimu sana kwa Taifa, ambalo halina haja ya malumbano sana wala hofu yoyote tunapoelekea uchaguzi muhimu sana wa serikali za mitaa nov.27,2024. asiwepo mtu akasitisha maandalizi ya uchaguzi ya taasisi yake kwasababu ya jambo hilli jepesi sana :pulpTRAVOLTA:
It’s enough for the people to know there was an election 🗳 ??!
That’s what you meant ??! 🙄
 
You nailed it 🙏
 
Timu iko vizuri na itasaidia kuleta tafsiri kamili ya nini maana ya TUME HURU YA UCHAGUZI.
 
It’s enough for the people to know there was an election 🗳 ??!
That’s what you meant ??! 🙄
make sure you don't relax,
prepare yourseleves for serikali za mitaa elections because there will be no extra time or excuse when time comes 🐒
 
zingatia maelezo na kama ni mzaha subiria muda ufike,

na muhimu zaidi jitahidi kujiepusha na muweweseko wa mapema gentleman 🐒
Mkuu huko X zamani tweeter ,zipo picha zina trend , ambazo inasadidika ndo watekaji wakuu , japo binafsi siwezi sema ndio au hapana maana sijadhibitisha hilo , nini maoni yako juu ya hili kama mwana ccm , msomi , na mwenye maono ya mashaka kwangu binafsi?

Mapicha yao yapo huko X leta maneno tufanyeje kudhibitisha hilo? Na kama kweli toa way forward kama wewe binafsi , maana kweli watu wanapotea
 
Wewe ni kichaa; huku siyo kupigania maslahi yako pekee. Utakuwa na matatizo makubwa sana akilini mwako.
 
Mkuu huko X zamani tweeter ,zipo picha zina trend , ambazo inasadidika ndo watekaji wakuu , japo binafsi siwezi sema ndio au hapana maana sijadhibitisha hilo , nini maoni yako juu ya hili kama mwana ccm , msomi , na mwenye maono ya mashaka kwangu binafsi?

Mapicha yao yapo huko X leta maneno tufanyeje kudhibitisha hilo? Na kama kweli toa way forward kama wewe binafsi , maana kweli watu wanapotea
Kama huyo 'Tlaatlaah' si mmoja wa hao watekaji; kwa vyovyote atakuwa ni muhusika kwa njia moja au nyingine katika mambo hayo ya utekaji.
Huyu atakuwa yumo kwenye kundi maalum la kumpigania mama kwa kila namna ili abaki madarakani. Ndiyo maana yumo humu JF kwa kazi hiyo moja tu ya kumpigania mama, na siyo maslahi ya Tanzania na waTanzania wote.
 
ni muhimu kua wazalendo wastahimilivu na wenye subra kwenye jambo hili muhimu sana kwa Taifa, ambalo halina haja ya malumbano sana wala hofu yoyote tunapoelekea uchaguzi muhimu sana wa serikali za mitaa nov.27,2024. asiwepo mtu akasitisha maandalizi ya uchaguzi ya taasisi yake kwasababu ya jambo hilli jepesi sana :pulpTRAVOLTA:
Wewe utakuwa karibu sana na Masabuni (Masauni) na Mchengelwa; kama siyo mmoja wao. Umo kwenye kundi mahsusi la kumpambania 'Chura Kiziwi'.

Sasa fahamu ya kwamba, safari hii hamtaachwa muendelee kutamba na kuwakejeli waTanzania kama unavyo fanya hapa wazi wazi bila ya aibu yoyote.
 
Kama huyo 'Tlaatlaah' si mmoja wa hao watekaji; kwa vyovyote atakuwa ni muhusika kwa njia moja au nyingine katika mambo hayo ya utekaji.
Huyu atakuwa yumo kwenye kundi maalum la kumpigania mama kwa kila namna ili abaki madarakani. Ndiyo maana yumo humu JF kwa kazi hiyo moja tu ya kumpigania mama, na siyo maslahi ya Tanzania na waTanzania wote.
gentleman,
mateka ni huko ghaza hii mnazungumza nini ndrugu zango kutafuta tension na huruma za wananchi, haitasaidia

vyombo vya uchunguzi vinashugulika na matukio yote ya kihalifu, sio hilo pekee mliloloshadadia na kujifanya mna huruma sana...

kuweni watulivu, kuweni wastahimilivu na wenye subra, vyombo vya ulinzi na usalama viko kazini,

nivizur mkatoa nafasi na uhuru, lakini pia milango iko wazi kwa wenye taarifa zozote zitakasaidia kufanikisha uchunguzi na hatimae haki itendeke kwa waathirika 🐒
 
Haya, mtu kama huyu naye tunaye Tanzania; mtu mwenye asili ya huko huko anako kuzungumzia. Tabia zile zile anazileta hapa kwetu.
Imetosha.
 
vyombo vya uchunguzi vinashugulika na matukio yote ya kihalifu, sio hilo pekee mliloloshadadia na kujifanya mna huruma sana...
Sisi hatujifanyi tuna huruma sana, kama unavyo jifanya wewe kuwa mnafiki hapa.
Hivi bado huoni kuwa umekuwa kioja humu JF?
 
Wewe utakuwa karibu sana na Masabuni (Masauni) na Mchengelwa; kama siyo mmoja wao. Umo kwenye kundi mahsusi la kumpambania 'Chura Kiziwi'.

Sasa fahamu ya kwamba, safari hii hamtaachwa muendelee kutamba na kuwakejeli waTanzania kama unavyo fanya hapa wazi wazi bila ya aibu yoyote.
kama huna maono, huna sera nzuri, huna mipango mikakati ama huna wagombea makini na mahiri wenye sifa za uongozi na wanaokubalika kwa wananchi, utashindwa vizur tu kwenye uchaguzi huo..

hata hivyo,
safari hii uchaguzi waTz, ni uchaguzi wa kihistoria duniani kwasababu utakua wa uhuru sana, uwazi sana na kwakweli wa haki sana...

tahadhali,
usiache kujiandikisha katika daftari la kudumu, na usikose kupiga kura wakati muafaka ukifika.

na usikosee kuchagua wale wote wa CCM 🐒
 
Wewe sasa tutakutambua kuwa mmoja wa wahalifu hapa nchini, bila kujali nafasi uliyo shikilia.
Sina shaka tena juu yako. Wewe ni mmoja wa kundi hatari hapa nchini.
 
Mkuu huko X zamani tweeter ,zipo picha zina trend , ambazo inasadidika ndo watekaji wakuu , japo binafsi siwezi sema ndio au hapana maana sijadhibitisha hilo , nini maoni yako juu ya hili kama mwana ccm , msomi , na mwenye maono ya mashaka kwangu binafsi?

Mapicha yao yapo huko X leta maneno tufanyeje kudhibitisha hilo? Na kama kweli toa way forward kama wewe binafsi , maana kweli watu wanapotea
kwanza kabisa ifahamike wazi kwamba vyombo vya kiuchunguzi vya ulinzi na usalama haviwezi hata siku moja kupuuzia taarifa zozote za kihalifu zinazoweza kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi lakini pia taarifa zinazoweza kutumika kukamilisha uchunguzi au kufanikisha kuwatia nguvuni wahalifu...zote hizo mitandaoni zinazongatiwa...

jambo la pili la maana zaidi ni kwamba, baada ya hatua za kiuchunguzi kukamilika, kule mahakamani hapataki mzaha, harakati, hisia au huruma...
panahitajika uthibitisho wa ushahidi usio na mashaka dhidi ya mashaka yaliyowasilishwa mbele ya pilato..

na mapilato wengi sasa hivi hawaburuzwi tena kama zamani, kila moja anataka kuweka yake records safi, kwamba atoe hukumu ya haki ya kihistoria amabayo hapo baadae itumike kama reference kuhukumu kesi nyingine au kama reference ya kufundishia vyuoni...

nitoe wito tu kwa ujumla,
kwamba pamoja na hizo picha za mitandaoni,
ikiwa kuna raia yeyote, anazo taarifa za kutosha kufanikisha uchunguzi au kutiwa nguvuni kwa wahalifu wa utekaji na wengineo, milango ya vyombo vya ulinzi na usalama iko wazi, ajitokeze ili kufanikisha upatikanaji wa haki kwa waliodhulimiwa...

samahani sana kwa maelezo marefu niko ambako siwezi kuandika vizur 🐒
 
Back
Top Bottom