Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Yeah .....kwenye majukwaa wanajiita wazalendo.Mambo moto, tuna test kama mhimili wa serikali kuu na mhimili wa mahakama wapo kwa ajili ya taifa la haki.
Let us keep records
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah .....kwenye majukwaa wanajiita wazalendo.Mambo moto, tuna test kama mhimili wa serikali kuu na mhimili wa mahakama wapo kwa ajili ya taifa la haki.
Hiki ndiyo kiwango cha akili za watu hawa. Inasikitisha sana.maombi yote yatajibiwa kwa kuzingatia gharama za maandalizi ya uchaguzi zilizotumika, athari na hasara za kutofanyika uchaguzi huo na hatua ya maandalizi ya uchaguzi huo iliyofikiwa,
nadhani uamuzi wenye maelezo ya kina utatolewa baada ya uchaguzi wenyewe November,2024...
na wito wa mapendekezo ya marekebisho utaambatanishwa kwajili ya maandalizi ya chaguzi zijazo..
Ni 'test' nzuri.Mambo moto, tuna test kama mhimili wa serikali kuu na mhimili wa mahakama wapo kwa ajili ya taifa la haki.
Huyu unaweza kukuta ni DC au DASHiki ndiyo kiwango cha akili za watu hawa. Inasikitisha sana.
Hivi kweli mnawachukulia waTanzania kuwa wapumbavu kiasi hiki? Hata kama ni mzaha unafanya, mzaha wa aina hii unakufanya uonekane juha kweli kweli.
Kuna wakati natamani utumie tu akili zako za kawaida ili tuweze kujadiliana vizuri kuhusu mstakabali wa nchi yetu, lakini unapo jifanya kuwa na akili za kishetani namna hii haiwezekani kamwe kukuchukulia wewe na umakini unao stahili kwenye majadiliano mazito
Hivi kweli, unapo andika upumbavu wa namna hii humu JF unategemea kweli watu wenye akili timamu wakusome na kukuelewa?
Kama unaweka takataka hizi kuwafurahisha wapumbavu wenzako, ambao mpo pamoja humu JF kwa kazi za aina hii, inawasaidia kitu gani nyinyi na hao wanao watuma?
Maombi yanayoombwa na Waleta maombi ni pamoja na;
1. Mahakama Kutoa ruhusa kwa Waleta maombi kuwasilisha maombi ya kufuta Sheria Ndogo zilizotolewa kupitia matangazo ya serikali Na. 571, 572, 573, na 574 ya tarehe 12/7/2024;
2. Mahakama kutoa ruhusa kwa waleta maombi kuwasilisha maombi ya kuizuia TAMISEMI kuratibu, kuandaa, na kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024;
3. Mahakama kuweka zuio kwa TAMISEMI, mawakala wake, wawakilishi au wafanyakazi wake kuratibu, kuandaa, na kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024.
View attachment 3075734
View attachment 3075744
Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake, wacha inyeshe kwanza tuone panapovuja 🤣Una zani tamisemi inazuia usishinde tuwaangalie mawakala wa nao wekwa na kila chama wengine wanakuwa wananjaa wempaka ijioni wanna chupa ya maji tu chukula awaja nunuliwa sasa apo una semaje
Huyo ni mbunge wa sisiemHuyu unaweza kukuta ni DC au DAS
Mhimili wa mahakama kwa sasa nao umsikikiliza Raisi, ngoja tuone kwa hii kesi.Mambo moto, tuna test kama mhimili wa serikali kuu na mhimili wa mahakama wapo kwa ajili ya taifa la haki.
PossiblyHuyo ni mbunge wa sisiem
Samahani usikasirike, uandishi wako umenivutia sana, sijui mwenzetu shule uliishia darasa la ngapi?Una zani tamisemi inazuia usishinde tuwaangalie mawakala wa nao wekwa na kila chama wengine wanakuwa wananjaa wempaka ijioni wanna chupa ya maji tu chukula awaja nunuliwa sasa apo una semaje
Me 2Niko tayari kuchangia mil 10 taslimu ili kurahisizha mchakato
Kumekuchaa ,Maombi yanayoombwa na Waleta maombi ni pamoja na;
1. Mahakama Kutoa ruhusa kwa Waleta maombi kuwasilisha maombi ya kufuta Sheria Ndogo zilizotolewa kupitia matangazo ya serikali Na. 571, 572, 573, na 574 ya tarehe 12/7/2024;
2. Mahakama kutoa ruhusa kwa waleta maombi kuwasilisha maombi ya kuizuia TAMISEMI kuratibu, kuandaa, na kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024;
3. Mahakama kuweka zuio kwa TAMISEMI, mawakala wake, wawakilishi au wafanyakazi wake kuratibu, kuandaa, na kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024.
View attachment 3075734
View attachment 3075744
zingatia maelezo na kama ni mzaha subiria muda ufike,Hiki ndiyo kiwango cha akili za watu hawa. Inasikitisha sana.
Hivi kweli mnawachukulia waTanzania kuwa wapumbavu kiasi hiki? Hata kama ni mzaha unafanya, mzaha wa aina hii unakufanya uonekane juha kweli kweli.
Kuna wakati natamani utumie tu akili zako za kawaida ili tuweze kujadiliana vizuri kuhusu mstakabali wa nchi yetu, lakini unapo jifanya kuwa na akili za kishetani namna hii haiwezekani kamwe kukuchukulia wewe na umakini unao stahili kwenye majadiliano mazito
Hivi kweli, unapo andika upumbavu wa namna hii humu JF unategemea kweli watu wenye akili timamu wakusome na kukuelewa?
Kama unaweka takataka hizi kuwafurahisha wapumbavu wenzako, ambao mpo pamoja humu JF kwa kazi za aina hii, inawasaidia kitu gani nyinyi na hao wanao watuma?
kaa kwa kutulia 🐒Huko sahihi mkuu.
Abracadabra kama kawaida yake !!jambo hili ni rahisi mno na hasa ukizingatia waleta maombi ni wazalendo lakini pia ni mawakili wangwana sana humu nchini,
maombi yote yatajibiwa kwa kuzingatia gharama za maandalizi ya uchaguzi zilizotumika, athari na hasara za kutofanyika uchaguzi huo na hatua ya maandalizi ya uchaguzi huo iliyofikiwa,
nadhani uamuzi wenye maelezo ya kina utatolewa baada ya uchaguzi wenyewe November,2024...
na wito wa mapendekezo ya marekebisho utaambatanishwa kwajili ya maandalizi ya chaguzi zijazo....![]()
Lakini hizo gharama zilizotumika hazitakuwa na maana kufanya uchaguzi bandia usio na maana. Ni hasara pesa iliyotumika kwenye maandalizi ipotee, LAKINI ni hasara zaidi kufanya kitu kisichokuwa na maana wala uhalali halagu kiwe mzigo kwa miaka mitano inayo.jambo hili ni rahisi mno na hasa ukizingatia waleta maombi ni wazalendo lakini pia ni mawakili wangwana sana humu nchini,
maombi yote yatajibiwa kwa kuzingatia gharama za maandalizi ya uchaguzi zilizotumika, athari na hasara za kutofanyika uchaguzi huo na hatua ya maandalizi ya uchaguzi huo iliyofikiwa,
nadhani uamuzi wenye maelezo ya kina utatolewa baada ya uchaguzi wenyewe November,2024...
na wito wa mapendekezo ya marekebisho utaambatanishwa kwajili ya maandalizi ya chaguzi zijazo....![]()
Business as usual Right ?kaa kwa kutulia 🐒
ni muhimu kua wazalendo wastahimilivu na wenye subra kwenye jambo hili muhimu sana kwa Taifa, ambalo halina haja ya malumbano sana wala hofu yoyote tunapoelekea uchaguzi muhimu sana wa serikali za mitaa nov.27,2024. asiwepo mtu akasitisha maandalizi ya uchaguzi ya taasisi yake kwasababu ya jambo hilli jepesi sanaLakini hizo gharama zilizotumika hazitakuwa na maana kufanya uchaguzi bandia usio na maana. Ni hasara pesa iliyotumika kwenye maandalizi ipotee, LAKINI ni hasara zaidi kufanya kitu kisichokuwa na maana wala uhalali halagu kiwe mzigo kwa miaka mitano inayo.