Bobby Brown Jr afariki dunia akiwa na umri wa miaka 28, amefariki miaka 5 tokea kifo cha dadake Bobby Kristina

Bobby Brown Jr afariki dunia akiwa na umri wa miaka 28, amefariki miaka 5 tokea kifo cha dadake Bobby Kristina

True, basi nilivoona umevaa katalogi hapo na mikono mfukoni nikajua we mzee wa uno
Ivi lile kundi lao la new edition bado lipo? Huyo baba bado ni mwanamuziki hadi sasa?
Kumbe unamjua vizuri[emoji122][emoji122]
 
Mama Whitney Houston Cocaine....bathtub....kifo 2012

Bobby Christina....cocaine....bathtub....kifo 2015

Mzimu umehamia kwa mtoto wa kambo

RIP
Huyu sio wa kambo ni wake kabisa yule wa adoption alifariki juzi kati hapo inshort Bobby amepoteza watu wa 4 ndani ya miaka 5
 
Back
Top Bottom