Bobby Brown Jr afariki dunia akiwa na umri wa miaka 28, amefariki miaka 5 tokea kifo cha dadake Bobby Kristina

Kabaki mkiwa, Yan usiombe
Ana watoto saba,hakuwa mvivu kwa upande huo
IMG_20201119_192515.jpg
 
Duh kumbe baada ya wit kufariki aliweka kitu na box ndani?
Oops! yes dear, na huko nje bado alikuwa anazaa daily na wanawake tofauti..

Bobby ni playboy

Hapa katulia kwa ajili ya utu uzima na shekeli inampiga chenga sio kama zamani

Ila ni limalaya full
 
Litakuwa rijali haswa hilo
 
Back
Top Bottom