witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Ana watoto wengi badoKabaki mkiwa, Yan usiombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana watoto wengi badoKabaki mkiwa, Yan usiombe
Ana watoto saba,hakuwa mvivu kwa upande huoKabaki mkiwa, Yan usiombe
Duh basi alikuwa na kiuno jamaniAna watoto saba,hakuwa mvivu kwa upande huoView attachment 1630109
Asante Dia wangu, nilikuwa sijuiAna watoto wengi bado
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh basi alikuwa na kiuno jamani
Una watoto wangap[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyota ya kifo kama vile yule demu wa bongo muvi. Tusishangae siku CEO wa ile redio na tv. E. nae akaenda na maji kiboya alafu mwanamke akabaki anaishiWhitney Houston 2012
Bob Kristina Brown 2015
Nick Gordon(boyfriend wa Bob Kristina) January 2020
Bob Brown Jr November 2020
Wawili tu mkuu bado nagaragara though umri bado unarusu ila kibongo bongo ukimuiga mwamba unaweza kuumbuka.We
Una watoto wangap
Dah italuwa ni hatariNyota ya kifo kama vile yule demu wa bongo muvi. Tusishangae siku CEO wa ile redio na tv. E. nae akaenda na maji kiboya alafu mwanamke akabaki anaishi
Na bado anaendelea kuzaaDuh basi alikuwa na kiuno jamani
Duh kumbe baada ya wit kufariki aliweka kitu na box ndani?Na bado anaendelea kuzaa
Huyo mke wake wa sasa anafyatua si mchezo, japo umri umesonga
Oops! yes dear, na huko nje bado alikuwa anazaa daily na wanawake tofauti..Duh kumbe baada ya wit kufariki aliweka kitu na box ndani?
True, basi nilivoona umevaa katalogi hapo na mikono mfukoni nikajua we mzee wa unoWawili tu mkuu bado nagaragara though umri bado unarusu ila kibongo bongo ukimuiga mwamba unaweza kuumbuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Litakuwa rijali haswa hiloOops! yes dear, na huko nje bado alikuwa anazaa daily na wanawake tofauti..
Bobby ni playboy
Hapa katulia kwa ajili ya utu uzima na shekeli inampiga chenga sio kama zamani
Ila ni limalaya full
Sema mbegu zake zina heroine na cocaine watoto wakikua kidogo tu wanabwia[emoji848]Litakuwa rijali haswa hilo
Haaaaa Haaaaa 😂 haloooooSema mbegu zake zina heroine na cocaine watoto wakikua kidogo tu wanabwia[emoji848]