Sio wanajeshi, Mzee Museveni ametumia fedha za misaada kutengeneza jeshi lake la akiba (presidential guard) na jeshi hilo lina vifaa vyote uvijuavyo.Wanajeshi wa Uganda ndio wassenge zaidi,wanapelekeshwa na Iko kibabu
Aisee!Sio wanajeshi, Mzee Museveni ametumia fedha za misaada kutengeneza jeshi lake la akiba (presidential guard) na jeshi hilo lina vifaa vyote uvijuavyo.
Hii ni (exclusive) viongozi wengi wa Afrika waiga kutoka kwa Putin, Xi, Khamenei na wengine wana vikosi vyao mbali na jeshi.
Ndo habari nyeti hiyo.
Ndo katiba ya uganda inavyosema sema hili zee lilibadilisha ili liendelee kutesa watuMzee anamwonea kijana wake, kadri mtu umri unapozidi kuongezeka ujitokeza tabia fulani kama chukizo kwa watu wanaolizunguka.
Ifike wakati kuwania muhula wa uraisi mwisho miaka 70
A UPDF helicopter has landed in Bobi Wine’s compound and forcibly taken him away to an unknown destination
MORE DETAILS (UPDATES):
Robert Kyagulanyi Ssentamu has been forcefully airlifted from his home, his wife, Babie Kyagulanyi, confirmed that.
Reports indicate that since morning, his residence has been surrounded by the Police and UPDF combined, and they haven't allowed anyone to go in or out.
Ugandans are already mobilizing for a collective uprising, perhaps in areas like Luweero and parts of Kampala; it's already underway.
Earlier, we were able to interact with our leader until they activated the signal jammers, but we're doing our best to keep in touch.
Local media haven't published any atrocities committed by the regime, although we've received several reports from all over the country. We just got verbal details (normal calls) as it's impossible for our people to upload the content, but we will share if got any.
View attachment 3530836
View: https://x.com/nup_ug/status/2012235335879581965?s=46
View attachment 3530837
#M7Mustgo #MuseveniMustGo #UgandaIsBleeding #EndTortureInUganda #FreeUgandaNow
"Technically" Uganda yatawaliwa kijeshi sawa na Rwanda.Mwisho wa Museveni umefika rasmi
Kwani kachomeka wapi?Museveni hachomoi
Hamia kwa mabeberu ukafirw.... huko!! 🤣Africa bara la kise..e sanaaaa
Yaani kuzaliwa hili bara ni laana tupu
Kuna mambo ya kijinga jinga sana
Yaani miraisi ya nchi za hili bara imejaa mitamaa sana
Yaani ni laana sana ndo maana tu maskini tuu
Ni mapema sana kusema, ngoja tuoneMwisho wa Museveni umefika rasmi
Usishangae mkuu hali ndo hiyo.Aisee!
Haiingii akilini kuona mmoja wa wanafunzi wa Walter Rodney na wafuasi wa sera na maono ya Frantz Fanon kageuka kuwa mfia madarakani.Vitimbi vya Babu Kaguta ..
Mwisho upo hata kama si mwaka huu ila mwisho upo tu! Utauwa watu na kutawala ila jua umeweka tofali la anguko lenu baadae.Inadaiwa kuwa nchini Uganda hali ni tete sana, ambapo inasemekana kuna kundi la watu wasiozungumza Kiingereza wala Kiganda ambao wanavunja nyumba za watu wakiwa na silaha, huku wakiteka wanaume na kuwashambulia wanawake kikatili.
Hali hii imezua hofu kubwa kiasi kwamba vijana wengi wamekimbia makazi yao na kujificha vichakani kuokoa maisha yao, jambo linalowakumbusha watu enzi za utawala wa Idi Amin, ingawa inasemekana hali ya sasa ni mbaya zaidi.
Pia inadaiwa wamevamia nyumbani kwa Bobi Wine na kumteka kisha kumsafirisha kwa helkopta na kwenda kusikojulikana, huku kukiwa hakuna taarifa za mahali alipo mke wake. Katika uvamizi huo, watu wawili akiwemo mlinzi wake wameuawa kwa kupigwa risasi.
Ghasia hizi zimesambaa mpaka maeneo ya mbali kama Mukono na Luwero, ambapo wananchi wameanza kuasi kupinga matokeo ya uchaguzi, huku kukiwa na hofu kuwa wanajeshi waliokuwa Somalia wametumwa kuwashambulia raia.
M23 hawanaga huo ujinga, waulize JWZ walichokipata kwa M23.Hao ni watanzania nini nao wameenda kulipa fadhila. Kama si wao basi ni M23 kama wale walioombwa kuja TZ.