Bobi Wine achukuliwa na Vyombo vya Usalama na kupelekwa kusikojulikana

Eh wasiojulikana wamejipanga, kwamba mtu binafsi aweze kumiliki helikopta na silaha 😂 M7 bhana
 
Protests are building up in the city, security forces are firing, and the Red Cross is treating the injured.

20260116_234628.jpg
20260116_234624.jpg
 
Sio wanajeshi, Mzee Museveni ametumia fedha za misaada kutengeneza jeshi lake la akiba (presidential guard) na jeshi hilo lina vifaa vyote uvijuavyo.

Hii ni (exclusive) viongozi wengi wa Afrika waiga kutoka kwa Putin, Xi, Khamenei na wengine wana vikosi vyao mbali na jeshi.

Ndo habari nyeti hiyo.
Unapinga kwa kusema siyo "wanajeshi" halafu wakati huo huo unasema wahusika ni "jeshi la akiba"
 
Mi ndio maana naona Trump anafanya sawa kabisa kuwanyakua wapuuzi kama hawa
 
Amidst the raid my father was able to escape, my mother is still currently under arrest, still nobody is allowed to enter the house.

@kampala_solomon, son of President Kyagulanyi Robert Ssentamu @HEBobiwine

Screenshot_20260117-083316.png

#ProtestVote2026 #FreeUgandaNow #M7Mustgo #MuseveniMustGo
 
Hawakumpata. Alishanusa hiyo ambush mapema na yeye mwenyewe kuchomoka na kujificha mahali. Hii hapa official statement yake
Screenshot_20260118-131848.png

OFFICIAL STATEMENT OF BOBI WINE OF HIS WHEREABOUT AFTER THE POLICE RAIDED AND SURROUNDED HIS HOUSE TO ARREST HIM​

Last night was very difficult at our home in Magere. The military and police raided us. They switched off power and cut off some of our CCTV cameras. There were helicopters hovering over.

I want to confirm that I managed to escape from them. Currently, I am not at home, although my wife and other family members remain under house arrest. I know that these criminals are looking for me everywhere, and I am trying my best to keep safe. I understand that there has been great concern and speculation regarding my whereabouts. Please understand this is the context of a nationwide internet shutdown. Given the commotion that happened at our house at night, and given that no one is allowed to access the house, our neighbours concluded that they had succeeded in abducting us and spread the news.

I reiterate our COMPLETE REJECTION of the fake results Byabakama is reading. In addition to the ballot stuffing, the military take-over of the election, the detention of our leaders and polling officials, and other electoral offences, their results have zero backing!

We condemn the murder of numerous citizens who have thus far attempted to peacefully demonstrate against the broad daylight thuggery. The people of Uganda have the right to protest in defence of their sovereign right to determine a government of their choice - not the kind of criminality we're witnessing.

Aside from the blatant theft of the presidential election, these criminals have employed various fraudulent techniques to usurp the will of the people in numerous constituencies across the country. NUP candidates are being targeted - even when they have 100% evidence that they won. This is absolute madness.

The PEOPLE OF UGANDA WILL ULTIMATELY WIN.

Note: Some of these pictures were taken last night and others today morning.

UGANDA
 
Hawakumpata. Alishanusa hiyo ambush mapema na yeye mwenyewe kuchomoka na kujificha mahali. Hii hapa official statement yake
View attachment 3531411

Asante saaana 🫂 💕 May God bless you for loving our country 🇺🇬 Uganda 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Unapinga kwa kusema siyo "wanajeshi" halafu wakati huo huo unasema wahusika ni "jeshi la akiba"
ipo tofauti kati ya JWTZ na Magereza au Polisi au mgambo.

Na tofauti hiyo huwa kubwa zadi kama lipo jeshi la kukodi (mercenaries) na jeshi la kujitolea na vikosi vya maharamia na vile vya waasi kama M23 ambao wanahisiwa kuwa na "backup" kubwa ya jeshi la Rwanda..

Hapa Marekani pana jeshi la akiba (National Guard) ambalo ni sehemu ya jeshi la Marekani na hutumiwa kwenye kutuliza vurugu au ghasia.

Mzee Museveni hana jeshi ila ana kikosi binafsi cha kijeshi kwa ajili ya ulinzi wake.
 
Wewe umempinga kuwa hao wanaohusika siyo wanajeshi wakati kimsingi ni wanajeshi. Hizo tofauti za aina ya jeshi au vikosi wanavyotoka haiondoi ukweli kuwa wote hao ni wanajeshi.

Ungejikita katika kutoa huo ufafanuzi moja kwa moja bila kuanza kwanza kwa kumpinga.
 
Sawa kamanda twaeleweshana, nakupata.
 
,,,,, 🏡 🇺🇬
FB_IMG_1767639622828.jpg

We shall over come 🫂⌚
FB_IMG_1765483431614.jpg
FB_IMG_1765565769694.jpg

#M7MUSTGO #MUSEVENIMUSTGO #ENDTORTUREINUGANDA #UGANDAISBLEEDING #BRINGBACKOURPEOPLE
FB_IMG_1765480056943.jpg
 
Back
Top Bottom