Bobi Wine achukuliwa na Vyombo vya Usalama na kupelekwa kusikojulikana

Africa bara la kise..e sanaaaa
Yaani kuzaliwa hili bara ni laana tupu
Kuna mambo ya kijinga jinga sana
Yaani miraisi ya nchi za hili bara imejaa mitamaa sana
Yaani ni laana sana ndo maana tu maskini tuu
 
Wanajeshi wa Uganda ndio wassenge zaidi,wanapelekeshwa na Iko kibabu
Sio wanajeshi, Mzee Museveni ametumia fedha za misaada kutengeneza jeshi lake la akiba (presidential guard) na jeshi hilo lina vifaa vyote uvijuavyo.

Hii ni (exclusive) viongozi wengi wa Afrika waiga kutoka kwa Putin, Xi, Khamenei na wengine wana vikosi vyao mbali na jeshi.

Ndo habari nyeti hiyo.
 
Aisee!
 
Mzee anamwonea kijana wake, kadri mtu umri unapozidi kuongezeka ujitokeza tabia fulani kama chukizo kwa watu wanaolizunguka.

Ifike wakati kuwania muhula wa uraisi mwisho miaka 70
Ndo katiba ya uganda inavyosema sema hili zee lilibadilisha ili liendelee kutesa watu
 
Vitimbi vya Babu Kaguta ..
 
Mwisho wa Museveni umefika rasmi
"Technically" Uganda yatawaliwa kijeshi sawa na Rwanda.

Hivyo kijana yupo na atabakia kuwa CDF na upo uwezekano makamu wa pili wa raisi Jessica Alupo atachukua kiti kuwa raisi.

Mzee Museveni alimweka Alupo kuwa makamu wa pili wa mama Specioza Kazibwe ili ajifunze kazi.

Jessica ana masters mbili zatosha na ni jasusi akitokea kwenye MI ya jeshi.
 
Africa bara la kise..e sanaaaa
Yaani kuzaliwa hili bara ni laana tupu
Kuna mambo ya kijinga jinga sana
Yaani miraisi ya nchi za hili bara imejaa mitamaa sana
Yaani ni laana sana ndo maana tu maskini tuu
Hamia kwa mabeberu ukafirw.... huko!! 🤣
 
Viongozi wa Afrika ni takataka
 
Moja ya habari ambayo si nzuri kutoka Uganda basi ni hali ya kiusalama kutokuwa shwari hadi sasa katika baadhi ya maeneo! Na ukizingatia Uganda walifanya uchaguzi wao hapo jana na hadi sasa matoke ya urais yakiendelea kutangazwa!

Ila katika hali ya kushangaza na kuumiza kuna matukio yameibuka kama anavyotueleza moja ya mdau kutoka Uganda
=========
Inadaiwa kuwa nchini Uganda hali ni tete sana, ambapo inasemekana kuna kundi la watu wasiozungumza Kiingereza wala Kiganda ambao wanavunja nyumba za watu wakiwa na silaha, huku wakiteka wanaume na kuwashambulia wanawake kikatili.

Hali hii imezua hofu kubwa kiasi kwamba vijana wengi wamekimbia makazi yao na kujificha vichakani kuokoa maisha yao, jambo linalowakumbusha watu enzi za utawala wa Idi Amin, ingawa inasemekana hali ya sasa ni mbaya zaidi.

Pia inadaiwa wamevamia nyumbani kwa Kiongozi wa Upinzani na Chama cha National Unity Platform (NUP), Kyagulanyi Ssentamu Robert maarufu kama Bobi Wine, na kumteka kisha kumsafirisha kwa helkopta na kwenda kusikojulikana, huku kukiwa hakuna taarifa za mahali alipo mke wake. Katika uvamizi huo, watu wawili akiwemo mlinzi wake wameuawa kwa kupigwa risasi.

Ghasia hizi zimesambaa mpaka maeneo ya mbali kama Mukono na Luwero, ambapo wananchi wameanza kuasi kupinga matokeo ya uchaguzi, huku kukiwa na hofu kuwa wanajeshi waliokuwa Somalia wametumwa kuwashambulia raia.
 

Attachments

Mwisho upo hata kama si mwaka huu ila mwisho upo tu! Utauwa watu na kutawala ila jua umeweka tofali la anguko lenu baadae.
 
Museven ni ***** sana yule mzee. Safari hii Waganda wasicheke nae atoke kwa nguvu wamvute korodani zake hadi atoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…