Bobi Wine naye ni wale wale?

Kama hujui kitu uliza, sio kujifanya unajua wakati hata bendera ya UG pengine hujawahi hata iona.

Falme bado zipo UG, hapo central ambapo luweero- kampala- mpka jinja (Kuna mamilion ya Kura kma Dar) wametapakaa wa-Bagganda. Na wana kura almost 20% so wakiamua kulianzisha kma kipindi kile museveni alipotishia kufuta cheo cha Kabaka, basi nakuapia ndio mwanzo na mwisho wa UG kutawalika.

Kingine elewa M7 kura zake zinatoka magharibi kwa makabila ya Banyankole,Bakiga n.k na kidogo Kaskazini maana aliwakomboa kwenye vita. Maeneo mengine yote kura Zikipigwa huru na haki hawezi ambulia 30%.

Kiufupi M7 anategemea jeshi tu ambalo amejaza westerners wenzie ila kura kma kura hana la kumzidi Bobi Wine.
 

..Museveni ana wafuasi wengi.

..Bobi naye ana wafuasi wengi.

..cha ziada alichonacho Museveni ni SILAHA / VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.

..hata hapa Tz cha ziada walichonacho CCM dhidi ya vyama vingine ni silaha na vyombo vya ulinzi na usalama.
 
SIASA ZA AFRIKA SHIDAA

View attachment 1673347View attachment 1673348

Yuleeeeeee
Endeoeen kuuana tu
Waafrika tuna shida sana ndiyo maana hatuwezi ondoka mikononi mwa mzungu.
Uchaguzi wa uganda hautofautiani na tz. Ni mambo ya hovyohovyo mengi yamefanyika. Ndiyo maana bado mzungu anaonekana ndiye baba wa kuja kusuluhisha vurugu barani afrika.
Visingizio kuwa ndiyo demokrasia ya afrika.
 
Nadhani unachanganya kati ya rais na mgombea.
Check your facts bro.
Robert si rais .. bali ni mgombea, ameipeleka familia yake nje kwa sababu za kiusalama lakin yeye amebaki nyumban akipambana.

Unaposema unahitaji rais alietulizana na familia yake ikulu? Swali.. robert ameshawahi kuishi ikulu?

Second you know nothing about firewalls man. In modern world any firewall can be penetrated. It happened before. If the want it they will get it.. sababu technologia yenyewe ya firewall tunanunua kutoka kwao.
 
Wapuuzi ni wengi huku mitandaoni mmojawapo ni wewe. Watu wanapojadili kitu msilete mihemko yenu humu kwakuwa mna id za siri. weka facts tubishane. Mtu hujui lolote unaleta ubishi tu kipuuzi. Matusi ndo tiba yenu.
Mjadili au mbishane?
Hapa ndio wakosoaji mnapojichanganya
 
Wewe una watoto? Au wewe mgumba hauzai, mzazi yoyote yule anayejitambua mwenye watoto ataheshimu alichofanya Bobi Wine, kwanini uwaingize watoto wako katika risk na una uwezo wa kuwalinda.
Angewaondoa na watoto wa wafuasi wake ili aanzishe vurugu vizuri.

Nyie wapinzani mna akili za mbege mbege!
 
Wewe una watoto? Au wewe mgumba hauzai, mzazi yoyote yule anayejitambua mwenye watoto ataheshimu alichofanya Bobi Wine, kwanini uwaingize watoto wako katika risk na una uwezo wa kuwalinda.
Watoto wa wafuasi wake nani ana walinda?
 
Hayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!
Vipi! Tayari ameshajulikana yule alimpiga risasi 16?
 
Nilitamani nikujibu hii comment kwa kicheko kikali ila nimekosa option ya voice note hasa hapo ulipomwambia mr mat.ako atembee ajionee dunia

sasa Mat.ako nimetamani kuona mat.ako yake yakiwa yanatembea yanakuaje

CCM chama cha baba na mama
 
Vipi! Tayari ameshajulikana yule alimpiga risasi 16?
Ugoni mbaya jamani. Hata kwenye bibilia watu wa aina hiyo walikuwa wanapigwa mawe hadi kufa. Siku hizi wanamiminiwa marisasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…