zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kama hujui kitu uliza, sio kujifanya unajua wakati hata bendera ya UG pengine hujawahi hata iona.Kwahiyo Kabaka ana nguvu sana hapo Uganda eti?
Kwani kutaja kampala ni lazima ikulu iwe huko?
Kama huyo Kabaka wana lolote mbona M7 anajitawalia Uagnda apendavyo tena sasa ndio ameanza maandalizi ya kumuweka mwanae kwenye madaraka huku wao Kabaka wapo?
Mkuu Kabaka ni stori za miaka ya 1800 walipokuwa na nguvu sasa hivi wote wako mfukoni mwa M7 hawana la kusema.
Falme bado zipo UG, hapo central ambapo luweero- kampala- mpka jinja (Kuna mamilion ya Kura kma Dar) wametapakaa wa-Bagganda. Na wana kura almost 20% so wakiamua kulianzisha kma kipindi kile museveni alipotishia kufuta cheo cha Kabaka, basi nakuapia ndio mwanzo na mwisho wa UG kutawalika.
Kingine elewa M7 kura zake zinatoka magharibi kwa makabila ya Banyankole,Bakiga n.k na kidogo Kaskazini maana aliwakomboa kwenye vita. Maeneo mengine yote kura Zikipigwa huru na haki hawezi ambulia 30%.
Kiufupi M7 anategemea jeshi tu ambalo amejaza westerners wenzie ila kura kma kura hana la kumzidi Bobi Wine.