Bobi Wine naye ni wale wale?

Wapumbavu wa Mataga wanashabikia ushenzi huu wa dikteta Mu7.
 
Museveni kwisha habari yake
Umeanza umeanza na visredi vyako uchwara mwanamke wewe! Sitakusahau na Lissu ilaifuta CCM. Hivi wakati ukiandika haya huwa una stress za nyumba kubwa au mchepuko
 
Usibishe Tundu Lissu ni mchumia tumbo na mbinafsi
 
Tundu Lissu ni genius sana, Hakimu Simba alishajiandaa kumfunga jela miaka ya kutosha na huo ndio ungekuwa mwisho wake. Huyu dikteta jiwe ni dhalimu kweli kweli.
 
Kwa MTU mjinga pekee ndiye mwenye kufikiri hivyo.
Na bado, aliyoyasema yote sasa yanaanza kutimia
Tundu Lissu ni mpuuzi kuliko hata Bobie Wine. Mbinafsi hakuna. Pole sana najua wewe una mahaba naye
 
Reactions: T11
Najua Waganda wamemchoka Babu Mu 7, lakini kuongozwa na Bobi wine nisingewashauri.
Nilishauri Bobi wine akagombee urais chama cha wasanii Uganda sio urais Uganda .
km ni urais then mseven ampe kamanda Muhoozi tu kijana wake maana upinzani hawako serious.
Nchi km ile umpe Bobbi wine wakati watu wameisotea battle to battle mpk kuikomboa Big NO.
Siku 2 nyingi jamaa watapindua kila kitu waanze upya.
Museven kumrudisha Muhoozi kuwa MCS pale.
Sio uamuzi wa kijinga,
Muhoozi na Kagame wameenda chuo kimoja US.
Anajua kila kitu anaweza fanya kila kitu
 
Mu7 hakusoma?
Yaani akiondoka aache kuweka familia yake nafasi ya uraisi aamuachie tu mtu yoyote? Halafu akipelekwa mahakamani?
Watu wanaangalia maslah yao sio usomi.
 
Aliporushiwa bomu halikulipuka? Liliripuka akanusurika ama vipi?
 
Sio hapa tu, popote duniani iko hivyo ukileta ujuaji unajistaafisha mapema dunuani

Hiyo ni kote tu
 
Hakuna mwenye shida nazo zile wala mwenye shida na Lissu

Kilichotakiwa ni hiki kinachoendelea sasa

Amani na utulivu
 
Sawa Ila vipi sisi mwananchi wa kawaida tutasafirisha vipi familia zetu? Nan atatusaidia anyway siasa ni unijinga dunian
 
Kwa MTU mjinga pekee ndiye mwenye kufikiri hivyo.
Na bado, aliyoyasema yote sasa yanaanza kutimia
Nakumbuka alisema Acacia watatushtaki

Nalo litatimia lini?
 
..Pia tuliambiwa Acacia watatulipa usd 191 billion na kila Mtz atapata gari Noah.

..Nalo litatimia lini?
Angalau hili linatimia japo kidogo kuliko ndoto uchwara za Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…