SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wapumbavu wa Mataga wanashabikia ushenzi huu wa dikteta Mu7.Ni watoto zake hao. Yeye bado yupo ulingoni. Bodyguard wake na msaidizi wamekamatwa na wataachiwa baada ya uchaguzi. Ana hofia familia yake itafanyiwa kitu kibaya ili aghairi uchaguzi. Bomu la mkono limewahi kurushwa ndani ya chumba cha mwanae. Ana haki 100% kuwasafirisha wanae nje ya nchi kabla ya uchaguzi.
NB: uwe unajifunza kufanya research kabla hujaandika au kuongea chochote. Thank me later!